Argentina, Algeria, Austria, Jordan.Pia kuna kundi la argentina ukilitazama kwa macho ni jepesi ila wajuzi wa soka washaona ugumu wake
Algeria anawezaje kupata urahisi kwa Austria bwashee hao Austria mpaka Argentina anahofia lolote linaweza kumkutaArgentina, Algeria, Austria, Jordan.
hapo Argentina na Algeria wanaenda kirahisi sana, my wao hapo ni Jordan.
wao wakikuatana wanatoa droo
Msimu huu atapaa na Egypttimu ambayo haina bahati sana na haya mashindano ni Belgium.
mwaka 2018 walikuwa wamoto sana ila wakaishia nusu fainali
Austria nimewatupia macho hawana maajabu wataingia kwenye game zao vs Argentina na Algeria kama underdog tu.Algeria anawezaje kupata urahisi kwa Austria bwashee hao Austria mpaka Argentina anahofia lolote linaweza kumkuta
Usiende na matarajio hayo unakumbuka alichokumvana nacho argentina dhidi ya saudi arabiaAustria nimewatupia macho hawana maajabu wataingia kwenye game zao vs Argentina na Algeria kama underdog tu.
Goalkeepers
- Patrick Pentz (Brøndby) – projected starter
- Alexander Schlager (RB Salzburg) – primary backup
- Florian Wiegele (Viktoria Plzeň) – third keeper
Defenders
- David Alaba (Real Madrid) – captain, versatile center-back
- Kevin Danso (Tottenham) – central defender
- Phillipp Mwene (Mainz 05) – right-back
- Stefan Posch (Mainz 05) – center-back
- David Affengruber (Elche)
- Marco Friedl (Werder Bremen)
- Philipp Lienhart (Freiburg)
- Alexander Prass (Hoffenheim)
- Michael Svoboda (Venezia
Midfielders
- Marcel Sabitzer (Borussia Dortmund) – central midfield, playmaker
- Xaver Schlager (RB Leipzig) – defensive midfield
- Nicolas Seiwald (RB Leipzig)
- Florian Grillitsch (SC Braga)
- Konrad Laimer (Bayern Munich) – box-to-box midfielder
- Christoph Baumgartner (RB Leipzig)
- Romano Schmid (Werder Bremen)
- Alessandro Schöpf (Wolfsberger AC)
- Carney Chukwuemeka (Borussia Dortmund) – new addition
- Paul Wanner (PSV Eindhoven) – new addition
- Patrick Wimmer (VfL Wolfsburg),
Forwards
- Marko Arnautović (Red Star Belgrade) – veteran striker, Austria’s all-time top scorer
- Michael Gregoritsch (Augsburg)
- Sasa Kalajdžić (LASK),
France wanaongoza Dunia.Hii ndo rank kwa sasa kabla ya shindano huanza
halafu wakaishia wapi?Usiende na matarajio hayo unakumbuka alichokumvana nacho argentina dhidi ya saudi arabia
Lakini waliaribu fikra za haraka katika makundi kila nchi inahitaji kuongoza kundihalafu wakaishia wapi?
Ukiwa na bando unaangalia itakua live mpaka YouTube kuna bwashee kajitolea kulipia gharama zote hivyo atarusha kupitia YouTube channel yakeNajipanga niwe na ka hela ka kununuwa tv package ya kutosha!
Nikikosa labda nitaangalia kupitia TBC! Kwa mara ya kwanza!
Mbona ni 28k tu Azam game zote wanarusha?Najipanga niwe na ka hela ka kununuwa tv package ya kutosha!
Nikikosa labda nitaangalia kupitia TBC! Kwa mara ya kwanza!
Bando la Youtube na king’amuzi cha 28k which is cheaper?Ukiwa na bando unaangalia itakua live mpaka YouTube kuna bwashee kajitolea kulipia gharama zote hivyo atarusha kupitia YouTube channel yake