Mkuu mm naona hajakosea ila sema ndo ivo.Huyu kajichanganya. Hayo maneno angesema tu kwa mke wake chumbani.
Uliwapa watu zabibu zaoππDakika saba za Nyongeza.
2-0
Daah kama namuona trumpDk 45
USA 2
Australia 0
Safi sisi tupo Morocco leoππKabisa mkuu...na nyingine hata hawajazimaliza π€£
Nani kasema ni tabu? Mtangazaji wa wapi huyo?Nyuzi 23Β°C ni tabu huko? Au uvivu tu.
Nyani Ngabu
Leo Morocco anachezea nyingiSafi sisi tupo Morocco leoππ
Selecao huna habari naoHapa nashabikia Morocco na Haiti
Si kwamba VAR ndo inaondoa utata? Goli halali kabisa lile π.VAR utata mtupu
ujinga tu! Unambusuje mwanaume mwenzio?Brunooo kamkiss mwenzake.. busu la kheri, la pongezi ila wabongo wajaribu hiyo kitu, magazeti yote yataandika..