Hii mechi ilianza kifala hadi dk ya 75. Baada ya app goali 5 ndani ya dk 20 hivi kudadeqTutaaa tena
Si mnataka magoli3-1 huku
Beki zilikuwa zimekaza sana, after goal moja zikafunguka, yakaanza kuingia tuu.Hii mechi ilianza kifala hadi dk ya 75. Baada ya app goali 5 ndani ya dk 20 hivi kudadeq
Ana tabia za RonaldoXhaka mbinafsi sana asije man u.Kwanini asimwachie Manzimbi apige penalty awe na 3 goals!
Sanaaa,angempa Manzambi kuna ubaya gani? Hovyo kabisaAna tabia za Ronaldo
Kazingua kishenziXhaka mbinafsi sana asije man u.Kwanini asimwachie Manzimbi apige penalty awe na 3 goals!
Yeye ndo star wa teamSanaaa,angempa Manzambi kuna ubaya gani? Hovyo kabisa
Tazama mpira achana na porojoMakobaz wa Qatar wanapigwa kama ngoma
Kumbe huu Uzi ulifunguliwa kwa ajili ya porojoTazama mpira achana na porojo
Sasa habari za makobazi zimefikaje?Kumbe huu Uzi ulifunguliwa kwa ajili ya porojo
MasendozSasa habari za makobazi zimefikaje?
shukranicamel1.tv