Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 33,612
- 97,150
Marcus mkali bwanaHadi rashford??? Kweli babu ronado ameisha
Marcus mkali bwanaHadi rashford??? Kweli babu ronado ameisha
Kuliko babu ausioMarcus mkali bwana
Hawa wajomba wanakunywa pombeMashabiki walevi wa England wamepagawa
CR7?Kuliko babu ausio
Angalia usije kulewa na wewe 4: 2 🤪Mashabiki walevi wa England wamepagawa
Bafanabafana wana radhi za watu wa Afrika.Jamaa ana roho mbaya bafana bafana
Hawatamsahu
So walipanda ndege na laana😅Bafanabafana wana radhi za watu wa Afrika.
Acha waonewe na wafungwe goli nyingi tu
NdioCR7?
Yule ilibidi arudishe namba tokea 2022 ubishi wake na uroho wa madarakaNdio
Ukisepa nao unapata kesi ya wiziHivi mpira ukienda kwa mashabiki ruksa kusepa nao kama cricket?
Yeah. Worthy the wait.Fulltime
Eng 4 vs Croatia 2
What a spectacular game it was
Kuna mlevi wa England ajiandae jela. Nimemuona kaukumbatiaUkisepa nao unapata kesi ya wizi
Hakika mkuuYeah. Worthy the wait.
Mie nalala aiseeSasa mlale.. saa 8 imo tena 😂🙌