kuna mtu alipewa kombe bila ushindi?🤓🤓Ukweli ni kwamba ya 2022 haikuwa na ushindani kwasababu kuna timu moja iliandaliwa kutwaa taji kwasababu za kibiashara pamoja na mchezaji wake kuwa favourite na FIFA.
Ladha ingeonekanaje ikiwa kila mechi kulikuwa na penati?
Ushindani ungeonekanaje ikiwa hakuna usawa wa kimaamuzi kwenye kutafsiri sheria za faulo?
Shabiki wa CR7 uyokuna mtu alipewa kombe bila ushindi?🤓🤓
Unataka referee kama yule wa siku ya ufunguzi😃Game haina kadi ata moja
Red 3 zileUnataka referee kama yule wa siku ya ufunguzi😃
Jamaa ana roho mbaya bafana bafanaRed 3 zile
😄😄