Ghana ilikua ya msimu ule sio sasa kwasasa wewe unamzungumzia semenyoMwanetu unaichukuliaje Ghana?
Hawa wanaenda hadi 16 bora, tunza hii risit.
Panama anapigwa na Ghana, Ghana ana droo na England, anamfunga Croatia
England ana kikosi kipana lakini kufika fainal uo ni mziki mwingine kabisaDuuuh anachekesha sana mkuu kwa kikosi gani alicho nacho hadi afike final
Ghana akimpiga Croatia basi anatafuta droo lakini itabidi kumuombea njaaa Croatia apigwe na England ili wachuane kwa tofauti ya magoliAsipomfunga atadroo nae
Nasema Ghana ataenda hadi best 16
Wana Thomas Partey, Jordan Ayew, usimsahau Iñaki Williams, hawa wakiungana na Semenyo lazima wafanye kitu.!!!Ghana ilikua ya msimu ule sio sasa kwasasa wewe unamzungumzia semenyo
Hawawezi kumfunga england ata wakiingia hawawezi kufunguka watapambania sare tuWana Thomas Partey, Jordan Ayew, usimsahau Iñaki Williams, hawa wakiungana na Semenyo lazima wafanye kitu.!!!
Huyo Iñaki ni funga funga…
England inakikosi kinachoweza kubadilisha matokeo muda wowote hasa wakiwa wanacheza na underdogsWana Thomas Partey, Jordan Ayew, usimsahau Iñaki Williams, hawa wakiungana na Semenyo lazima wafanye kitu.!!!
Huyo Iñaki ni funga funga…
Wanetu mnaichukulia Ghana poa sanaGhana akimpiga Croatia basi anatafuta droo lakini itabidi kumuombea njaaa Croatia apigwe na England ili wachuane kwa tofauti ya magoli
Hili kundi lao ni gumu sanaEngland inakikosi kinachoweza kubadilisha matokeo muda wowote hasa wakiwa wanacheza na underdogs
Ni gumu kwa ghana tu coratia anaweza kuwa wa pili katika kundiHili kundi lao ni gumu sana
Kabisa Uruguay wana uradidi(consistence)Apo katika game hizi anaeweza kuokota point nne ni Uruguay tu
Usimuhesabu England fainal labda awe anashinda game zake kwa penatiMara hii watakutana na France kwenye fainali.
Ghana wanavuka 32Ni gumu kwa ghana tu coratia anaweza kuwa wa pili katika kundi
Unamaana ya kwamba ghana atamfunga england na Croatia?Ghana wanavuka 32
Usisahau kuna nafasi ya ‘Best looser’…
Kikosi cha england ni kizuri ila bado mzee ili ni kombe la dunia labda kilinganishe na brazil tu kwanzaVicheki tena vikosi mkuu