Congo mara ya mwisho kushiriki World Cup ni mwaka 1974 ukubwa wao uko wapi😂Mkuu nakuzoom toka usiku😀😀
Nanhiii alicheza na Underdog..hawa Congo ni wakubwaaa😀😀😀
Wanamfosia tap in wanaacha kutafuta ushindiUreno wakiweza kumuweka benchi Ronaldo watafika mbali sana maana anawakaba
Anawagharimu sana basi tuWanamfosia tap in wanaacha kutafuta ushindi
Hali ni mbaya😂Na hilo kapiga Ronaldo muda sio mrefu
Mimi siko wanasemaCongo mara ya mwisho kushiriki World Cup ni mwaka 1974 ukubwa wao uko wapi😂
Unatafuta ugomvi 😂
Kamuanzishia hadi uzi. Kuna kipindi nilikua nawamix.Unatafuta ugomvi 😂
Ameweka gazeti refu sana, afu mwamba hana hata shot on targetKamuanzishia hadi uzi. Kuna kipindi nilikua nawamix.
Hili wadau wameshalitambua, naamini watalitendea kazi.