2026 FIFA World Cup - Special Thread

Sahihi kabisa Mkuu
 
Sio leo ni kwamba yalisukwa matreni kabla ya michuano kuanza aliyenusulika dhidi ya game ya uswisi hii game ya spain jana haijamuacha salama
Kuna matrain bado yapo salama ,,,,kacheki train la Sam kicheko linasonga mpaka sasa timu 14 zishatiki
 
Sijaelewa hii kitu Wakuu imekuwaje safari hii Afrika tunasimamisha timu 10?

Nakumbuka kama zilikuwaga tano hivi?
Timu zimeongezwa ndugu , watu walilamika kombe la Dunia iwaje zinashiriki nchi 32 tu katika nchi zote Duniani ? ndio wakaona watanue wigo ziongezwe idadi ya timu ili timu nyingi zipate nafasi ya kushiriki ndio pendekezo la timu 48 likakubaliwa .

Hapo Africa tukapata advantage timu zetu zimeongezwa . Wengine waje kuongezea nyama
 
Ooh! Kumbe.

Ahsante sana ndugu mana nilijikuta hata sielewi elewi.
 
Okay l
 
Naona groups kibao this time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…