Uwanja wa New York New Jersey Stadium (MetLife Stadium) utakuwa mwenyeji wa jumla ya mechi 8.
Mechi hizo zinajumuisha hatua ya makundi, hatua za mtoano, na fainali.
Mechi za Hatua ya Makundi (Group Stage)
Juni 13, 2026: Brazil Vs Morocco (Kundi C)
Juni 16, 2026: Ufaransa VS Senegal (Kundi I)
Juni 22, 2026: Norway VS Senegal (Kundi I)
Juni 25, 2026: Ecuador VS Ujerumani (Kundi E)
Juni 27, 2026: Panama VS Uingereza (Kundi L)
Mechi za Hatua ya Mtoano (Knockout Rounds)
Juni 30, 2026 (Hatua ya 32 Bora): Mshindi wa Kundi I dhidi ya Mshindi wa Tatu kutoka Makundi C, D, F, G au H.Julai 5, 2026 (Hatua ya 16 Bora):
Mshindi wa Mechi Namba 76 dhidi ya Mshindi wa Mechi Namba 68
Fainali (The Final)Julai 19, 2026: Fainali Kuu ya Kombe la Dunia la FIFA 2026 itakayomua bingwa mpya wa dunia itachezwa Hapa.