PreGE2025 2025 ni Samia vs Dovutwa na kina Rungwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Dah mimi pigo zske nilikua nacheka sna hakosi hii kofia..kwanini walikuita dovutwa? Una pigo hiz au just for fun 😊
Kuna siku weekend tumetoka mimi nilivaa kofia ya hivyoo...
Muda tupo out hawakuniambia wakawa wananosolola tu, j3 kazini kasikia maneno dovutwa dovutwaa ..🤣🤣 niliumia badae nikazoea
 
Watanzania jiandae Kwa kampeni za kufa mtu, kampeini za kiushindani.

Mchuano utakuwa mkubwa haijapata kutokea kati ya Samia na kina Dovutwa na mzee Rungwe.

Unaambiwa upinzani kwenye nafasi ya uraisi ni mkali mno haijawai kutokea
Okay. Mm nitampigia kura Dovutwa
 
Kuna siku weekend tumetoka mimi nilivaa kofia ya hivyoo...
Muda tupo out hawakuniambia wakawa wananosolola tu, j3 kazini kasikia maneno dovutwa dovutwaa ..🤣🤣 niliumia badae nikazoea
Dovutwa ndo strong contender wa mama Abdul kwenye huu uchaguzi😁😁😁
 
Watanzania jiandae Kwa kampeni za kufa mtu, kampeini za kiushindani.

Mchuano utakuwa mkubwa haijapata kutokea kati ya Samia na kina Dovutwa na mzee Rungwe.

Unaambiwa upinzani kwenye nafasi ya uraisi ni mkali mno haijawai kutokea
Mnazidi kumpoteza njia mjue
 
Ila watanzania kuna nati zimelegea vichwani mwetu, yani mpo kufurahia kabisa uchaguzi mbovu utakavyokua badala ya kupinga?? 😥
Ukipinga wewe inatisha, sisi tunafurahia aibu atakayopata Samia kwa upinzani wake fake
 
Back
Top Bottom