PreGE2025 2025 ni Samia vs Dovutwa na kina Rungwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Watanzania jiandae Kwa kampeni za kufa mtu, kampeini za kiushindani.

Mchuano utakuwa mkubwa haijapata kutokea kati ya Samia na kina Dovutwa na mzee Rungwe.

Unaambiwa upinzani kwenye nafasi ya uraisi ni mkali mno haijawai kutokea
Umemsahau Chief Yemba kutoka ADC atawapa upinzani sana kina Samia.
 
Huu uchaguzi ni wa chama tawala wao kwa wao kwa ngazi ya ubunge na udiwani. Watanyukana wao kwa wao ndani ya chama chao kwenye kura za maoni. Ni shughuli pevu, vigogo hawatadondoshwa na wagombea wapya, kuna uwezokano mkubwa rushwa itambezwa sana, wanasema mkono mtupu haulambwi. Wagombea wapya wanaenda kutengeneza cv tu kuwa walitia nia ila kura hazikutosha. Safari hii mbunge mzoefu kudondoshwa na mpya kwenye kura za maoni itashangaza sana! Labda akatwe juu kwa juu kwamba hatakiwi kuwa mbunge tena. Wana tabia ya kukatana wao kwa wao ndani ya kamati zao za siasa. Wakishachaguana kwenye kura zao za maoni itakuwa imetoka hiyo, hao ndio wabunge na madiwani na hawana washindani wa vyama vingine. Mwendo itakuwa kampeni nyepesi hapa na pale kusubiri kutangazwa wameshinda kwa kura za kishindo
 
Watanzania jiandae Kwa kampeni za kufa mtu, kampeini za kiushindani.

Mchuano utakuwa mkubwa haijapata kutokea kati ya Samia na kina Dovutwa na mzee Rungwe.

Unaambiwa upinzani kwenye nafasi ya uraisi ni mkali mno haijawai kutokea
😅😅
 
Huu uchaguzi ni wa chama tawala wao kwa wao kwa ngazi ya ubunge na udiwani. Watanyukana wao kwa wao ndani ya chama chao kwenye kura za maoni. Ni shughuli pevu, vigogo hawatadondoshwa na wagombea wapya, kuna uwezokano mkubwa rushwa itambezwa sana, wanasema mkono mtupu haulambwi. Wagombea wapya wanaenda kutengeneza cv tu kuwa walitia nia ila kura hazikutosha. Safari hii mbunge mzoefu kudondoshwa na mpya kwenye kura za maoni itashangaza sana! Labda akatwe juu kwa juu kwamba hatakiwi kuwa mbunge tena. Wana tabia ya kukatana wao kwa wao ndani ya kamati zao za siasa. Wakishachaguana kwenye kura zao za maoni itakuwa imetoka hiyo, hao ndio wabunge na madiwani na hawana washindani wa vyama vingine. Mwendo itakuwa kampeni nyepesi hapa na pale kusubiri kutangazwa wameshinda kwa kura za kishindo
Watajuana wao kwa wao. Sisi tuko bize kumwombea Lissu na kujitafutia Ugali wa watoto
 
Huu uchaguzi ni wa chama tawala wao kwa wao kwa ngazi ya ubunge na udiwani. Watanyukana wao kwa wao ndani ya chama chao kwenye kura za maoni. Ni shughuli pevu, vigogo hawatadondoshwa na wagombea wapya, kuna uwezokano mkubwa rushwa itambezwa sana, wanasema mkono mtupu haulambwi. Wagombea wapya wanaenda kutengeneza cv tu kuwa walitia nia ila kura hazikutosha. Safari hii mbunge mzoefu kudondoshwa na mpya kwenye kura za maoni itashangaza sana! Labda akatwe juu kwa juu kwamba hatakiwi kuwa mbunge tena. Wana tabia ya kukatana wao kwa wao ndani ya kamati zao za siasa. Wakishachaguana kwenye kura zao za maoni itakuwa imetoka hiyo, hao ndio wabunge na madiwani na hawana washindani wa vyama vingine. Mwendo itakuwa kampeni nyepesi hapa na pale kusubiri kutangazwa wameshinda kwa kura za kishindo
Watajuana wao kwa wao. Sisi tuko bize kumwombea Lissu na kujitafutia Ug
 
kama hali hii ya kina lissu kutoshiriki uchaguzi mkuu, samia atapata ushindi wa mserereko kwa kura za wanachama wa chama chake tu. Kina rungwe na dovutwa kama kawaida yao watasindikiza na kuishia kuangukia pua, labda safari hii waonewe huruma waachiwe wabunge na madiwani wawili watatu au hata mmoja nao wajione wamo kwenye demokrasia. Kuna lile genge la chadema la G55 wanataka kugombea, Lissu yuko ndani, inawezekana genge hilo likagombea na kupata ubunge wakatinga bungeni na kuonekana mambo yalikuwa sawa uchaguzini mpaka wapinzani (wa mchongo) wameshinda. Utakuwa ni uchaguzi wa aina yake usiokuwa na mvuto wala hamasa ya kweli. kampeni zitapooza sana. Wanachi wamekata tamaa kushiriki chaguzi za abrakadabra
Kumbuka Chadema hawajasaini fomu za maadili
 
Kuna vyama hata sijui vilipataje usajili maana naona hata wagombea wao ni vibabu na havina mbadala na ni tangu tuwe na sera ya vyama vingi 1992 vipo tu. Ni bora viunge mkono nia ya chama tawala tu
NLD
 
Lissu anaviita vyama vya ma flash
wanakuja kufanya kampeni za kitaifa za ajabu ajabu, hawajazi watu viwanjani utafiri ni diwani chama fulani kisichojulikana anafanya kampeni.
 
Kama chadema haitashiriki uchaguzi mkuu bora viwe vyama vitatu tu ili jaji/mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi amalize kazi mapema kutaja wagombea na kura zao. Hawa kina dovutwa, runwwe, yembayemba wanachosha, orodha inakuwa ni ndefu huku mshindi anakuwa tayari anajulikana
 
Haahhahahaaa Kibibi aibuu ya mwakaaaaa..khaaa kiogaaaaaa sasa urais wake utakua na mantiki gani aisee yani yy kashazoea urais wa dezoooo...
Aibuuu aibuui aibuuuu
 
Kama uraisi tu alijiteua kimasiala mziki wa Lissu angeuweza
 
Back
Top Bottom