PreGE2025 2025 ni Samia vs Dovutwa na kina Rungwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
kama hali hii ya kina lissu kutoshiriki uchaguzi mkuu, samia atapata ushindi wa mserereko kwa kura za wanachama wa chama chake tu. Kina rungwe na dovutwa kama kawaida yao watasindikiza na kuishia kuangukia pua, labda safari hii waonewe huruma waachiwe wabunge na madiwani wawili watatu au hata mmoja nao wajione wamo kwenye demokrasia. Kuna lile genge la chadema la G55 wanataka kugombea, Lissu yuko ndani, inawezekana genge hilo likagombea na kupata ubunge wakatinga bungeni na kuonekana mambo yalikuwa sawa uchaguzini mpaka wapinzani (wa mchongo) wameshinda. Utakuwa ni uchaguzi wa aina yake usiokuwa na mvuto wala hamasa ya kweli. kampeni zitapooza sana. Wanachi wamekata tamaa kushiriki chaguzi za abrakadabra
Rungwe atagawiwa kura chache kuhalalisha uchaguzi
 
Ila watanzania kuna nati zimelegea vichwani mwetu, yani mpo kufurahia kabisa uchaguzi mbovu utakavyokua badala ya kupinga?? 😥
 
😆😆😆Unayakumbuka mapigo yake ya nguo? Ngoja niipekenyue hiyo picha😆🙌..Dovutwa Inside10 😆
Nimewakumbusha job hapa eti sahivi wamesema wataniita Doyo Hassan Doyo🤣🤣.
Picha ya fahim dovutwa hii hapa
images (4).jpeg

images.jpeg
 
Itakuwa ni mchuono na kampeni za vituko vya siasa tu na kuishia kwenye uchaguzi wa vioja. Tuseme kamapeni zitakuwa ni full burudani za wasanii wa kila aina ya muziki, waimba injili, bongo fleva, singeli, kwaya, hip hop, dansi, taarabu, bongo muvi, komedi na wapuuzi wengine wengi wenye haiba za kichawa. Mzee wa ubwabwa atakuwa anachekesha wananchi na sahani zake za ubwabwa, dovutwa kama kawaida yake atasindikiza na kuishia kuangukia pua. Uchaguzi wa mwaka huu kwa kweli utakuwa wa ajabu kuwahi kutokea tangu uhuru. Wameambiwa wauhairishe ili reform ifanyike lakini wanashupaza shingo. Tutaona vituko zaidi, muda ufike haraka tushuhudie abrakadabra za uchaguzi huo
We ulitaka kampeni za matusi, uropokaji, uzushi, upotoshaji, uwongo, ujenzi wa chuki?
 
Watanzania jiandae Kwa kampeni za kufa mtu, kampeini za kiushindani.

Mchuano utakuwa mkubwa haijapata kutokea kati ya Samia na kina Dovutwa na mzee Rungwe.

Unaambiwa upinzani kwenye nafasi ya uraisi ni mkali mno haijawai kutokea
Wasiotaka kupiga kura waachwe wasilazimishwe wengine tutaenda kupiga kura
 
Watanzania jiandae Kwa kampeni za kufa mtu, kampeini za kiushindani.

Mchuano utakuwa mkubwa haijapata kutokea kati ya Samia na kina Dovutwa na mzee Rungwe.

Unaambiwa upinzani kwenye nafasi ya uraisi ni mkali mno haijawai kutokea
Wallah nimefurahi sana.Mzee Rungwe atatuletea ubwabwa. Kitoweo/mboga itakuwa alizeti za kukaangwa.
 
Watanzania jiandae Kwa kampeni za kufa mtu, kampeini za kiushindani.

Mchuano utakuwa mkubwa haijapata kutokea kati ya Samia na kina Dovutwa na mzee Rungwe.

Unaambiwa upinzani kwenye nafasi ya uraisi ni mkali mno haijawai kutokea
Kama anateleza vile 🔥🔥
 
kama hali hii ya kina lissu kutoshiriki uchaguzi mkuu, samia atapata ushindi wa mserereko kwa kura za wanachama wa chama chake tu. Kina rungwe na dovutwa kama kawaida yao watasindikiza na kuishia kuangukia pua, labda safari hii waonewe huruma waachiwe wabunge na madiwani wawili watatu au hata mmoja nao wajione wamo kwenye demokrasia. Kuna lile genge la chadema la G55 wanataka kugombea, Lissu yuko ndani, inawezekana genge hilo likagombea na kupata ubunge wakatinga bungeni na kuonekana mambo yalikuwa sawa uchaguzini mpaka wapinzani (wa mchongo) wameshinda. Utakuwa ni uchaguzi wa aina yake usiokuwa na mvuto wala hamasa ya kweli. kampeni zitapooza sana. Wanachi wamekata tamaa kushiriki chaguzi za abrakadabra
We mwenye akili mbovu tuambie hasara
 
Back
Top Bottom