Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,828
- 5,969
Umeelewa swali lakini?
Umeombwa kifungu cha katiba kinacho back up maelezo yako.
Ni kifungu gani?
Mzee nakusihi uende mahali kuna jiwe halafu ukausugue pale ulimi wako ili makali yake yapungue kiasi, usije ukaja siku moja kukukata mdomoni kwenye mashavu kipindi utakapokuwa unakula chakula.ila kauli za WAPUMBAVU wachache waliopo ndani na nje ya CCM kwa manufaa yao wanaosambaza uvumi huu.
Kwa nafasi za kisiasa, inaruhusiwa pia. Katiba inaruhusu kitu hicho hicho ila kwa njia ya referendumAlichomaanisha Rais ni kwamba Kijazi alistaafu, halafu serikali ikampa mkataba wa kuendelea na utumishi.
Hali hiyo huwa inatokea kwa watumishi wa serikali / civil servants ktk nafasi mbalimbali.
Kwa nafasi za KUCHAGULIWA huwa hakuna kuongezewa muda. utumishi wa hukoma baada ya uchaguzi mpya kuitishwa.
Kinachotumika huwa ni lazima kuchoka. Kisichotumika ndiyo huwa hakichoki. Jipongeze kwa kitendo cha kuwa unachoka akiliNimekuelewa, ila unachosha akili. Tuna hesabu mihula kwa miaka au? Unapo amua kuongeza siku za utawala, kipi kina ongezeka tofauti na mihula?
Tafuta popote nilipounga mkono huo uhuni wa cdm.
Kauli uliyoitoa hapa ni ya kupinga. Kwa hiyo, Tutakupima kwa kauli zako za kupinga (sio kuunga mkono) huo uhuni wa CDM. Tupe posts zako za kupinga, kama ulifanya hivyo!
Wako watanzania wenzetu wametaka hivyo, kwa bahati nzuri wote wana mafaili yao mirembe.Je, kuna kiongozi yoyote au Mtanzania mwenzetu ambaye ameshawahi kutamka kwamba, kama inawezekana Magufuli aongozewe muda?
Kwa sababu kaharibu uchumi wa mtu mmoja mmoja, kwenye sekta binafsi.Kwanini waliowengi hawamtaki Rais Aongezewe mda?
Hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu,anayefahamu maana ya uko wa urais atakayeshabikia eti Rais aongezwe muda baada ya muda wake kuisha.Mzee nakusihi uende mahali kuna jiwe halafu ukausugue pale ulimi wako ili makali yake yapungue kiasi, usije ukaja siku moja kukukata mdomoni kwenye mashavu kipindi utakapokuwa unakula chakula
Wako wengi muno. Sidhani kama wote hao wanaweza kuwa hawana akili timamu.Hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu,anayefahamu maana ya uko wa urais atakayeshabikia eti Rais aongezwe muda baada ya muda wake kuisha.
Ndo maana nimewaita WAPUMBAVU.
Kwani idadi kubwa ya WAPUMBAVU yaweza kutengeneza mmoja mwenye akili?Wako wengi muno. Sidhani kama wote hao wanaweza kuwa hawana akili timamu.
Hata idadi kubwa ya wenye akili nayo pia haiwezi kutengeneza hao wengineKwani idadi kubwa ya WAPUMBAVU yaweza kutengeneza mmoja mwenye akili?
Idadi kubwa ya wenye akili ndiyo tutakaopinga hilo jambo.Hata idadi kubwa ya wenye akili nayo pia haiwezi kutengeneza hao wengine
Fear of the unknown.Sasa kwanini watu wauhusishe uteuzi wa Bashiru na uongezwaji wa mihula?
Umejiunga 2016 na hujapitia post za kabla ya 2015, unataka nikusaidieje labda?
Basi kaa kwa kutulia.Ninaposema utuletee hapa, ujue search attempt yangu mwenyewe haikuambulia kitu!
Hayo yote yanakuja kwa sababu CCM hii si ya wakuaminika tena - wametuvurugia kabisa utamaduni wetu tuliokuwa nao wa upendo na mshikamano bila kujali itikadi zetu na badala yake wamewekeza kwenye vita.
Ni CCM hii hii ya Bushiri iliyoharibu uchaguzi uliopita wa Serikali za mitaa na ule Mkuu huku yeye akiwa mtendaji mkuu wa chama - sasa tukiona hizi move za kimya kimya lazima tuhisi sasa wanakwenda kuvunja kanuni na kuweka yao - hawashindwi kitu hawa hata kama ni kwa kupindisha ni lazima kipite tu.
Tushaumwa na nyoka...tukiona unyasi lazima tunyenyue mguu mjomba.
Daaah😭😭Hata kama anafikiria kuongoza muda anajidanganya wachawi tupo tutaunganisha nguvu atakufa 😂😂