ESPRESSO COFFEE JF-Expert Member Joined Sep 6, 2014 Posts 6,146 Reaction score 7,676 Jan 25, 2022 #2,041 OKW BOBAN SUNZU said: Orando Pirates, Banda yeye yupo Simba. zote timu kubwa Click to expand... Ngoja Tuwanyooshe Hawa Waarabu, Ila Malawi wana Morali sanaaa Refa Asipo Wavuruga. Hivi ukitoka Tu mbeya unaingia Malawi
OKW BOBAN SUNZU said: Orando Pirates, Banda yeye yupo Simba. zote timu kubwa Click to expand... Ngoja Tuwanyooshe Hawa Waarabu, Ila Malawi wana Morali sanaaa Refa Asipo Wavuruga. Hivi ukitoka Tu mbeya unaingia Malawi
Smith Rowe JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 4,513 Reaction score 9,553 Jan 25, 2022 #2,042 OKW BOBAN SUNZU said: tusipopaki bus hawa tunawamudu Click to expand... Shida ni kwamba naona Malawi tuna lengo la kupaki bus
OKW BOBAN SUNZU said: tusipopaki bus hawa tunawamudu Click to expand... Shida ni kwamba naona Malawi tuna lengo la kupaki bus
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,302 Jan 25, 2022 Thread starter #2,043 Pianist said: Hivi sisi tunamshinda nani mpira kwa Africa kwa sasa, maana hawa Comoros, Ethiopia Malawi walikuwa vibonde wetu miaka iliyopita. Click to expand... Labda Sudan ya Kusini
Pianist said: Hivi sisi tunamshinda nani mpira kwa Africa kwa sasa, maana hawa Comoros, Ethiopia Malawi walikuwa vibonde wetu miaka iliyopita. Click to expand... Labda Sudan ya Kusini
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,302 Jan 25, 2022 Thread starter #2,044 The Sunk Cost Fallacy said: Wasije tena kuibeba Morocco, Malawi katekenya mtu. Click to expand... Utashangaa VAR inaanza nongwa
The Sunk Cost Fallacy said: Wasije tena kuibeba Morocco, Malawi katekenya mtu. Click to expand... Utashangaa VAR inaanza nongwa
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,323 Reaction score 108,385 Jan 25, 2022 #2,045 ESPRESSO COFFEE said: Huyu Mhango anachezea Club Gani? Haya mashindano kawa wa moto sanaa Click to expand... Pirathes kule bondeni
ESPRESSO COFFEE said: Huyu Mhango anachezea Club Gani? Haya mashindano kawa wa moto sanaa Click to expand... Pirathes kule bondeni
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,302 Jan 25, 2022 Thread starter #2,046 Lokonga said: Shida ni kwamba naona Malawi tuna lengo la kupaki bus Click to expand... Malawi wanakaa nyuma halafu wanashambulia kwa kushtukiza
Lokonga said: Shida ni kwamba naona Malawi tuna lengo la kupaki bus Click to expand... Malawi wanakaa nyuma halafu wanashambulia kwa kushtukiza
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 58,020 Reaction score 134,226 Jan 25, 2022 #2,047 Pianist said: Hivi sisi tunamshinda nani mpira kwa Africa kwa sasa, maana hawa Comoros, Ethiopia Malawi walikuwa vibonde wetu miaka iliyopita. Click to expand... TFF ni watu wa hovyo sana..Simba imekuja vizuri inafanyiwa kila aina ya hujuma
Pianist said: Hivi sisi tunamshinda nani mpira kwa Africa kwa sasa, maana hawa Comoros, Ethiopia Malawi walikuwa vibonde wetu miaka iliyopita. Click to expand... TFF ni watu wa hovyo sana..Simba imekuja vizuri inafanyiwa kila aina ya hujuma
Smith Rowe JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 4,513 Reaction score 9,553 Jan 25, 2022 #2,048 Duuuh Malawi wenzangu eeeh? tutatoboa kweli?
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 58,020 Reaction score 134,226 Jan 25, 2022 #2,049 Kipa wetu kaanza vitu vyake sasa
Pianist JF-Expert Member Joined Nov 7, 2010 Posts 681 Reaction score 372 Jan 25, 2022 #2,050 FORTALEZA said: Labda Sudan ya Kusini Click to expand... Dah, yaani unaangalia mpira ukifikiria Stars unasikitika. Tumekomalia Simba na Yanga.
FORTALEZA said: Labda Sudan ya Kusini Click to expand... Dah, yaani unaangalia mpira ukifikiria Stars unasikitika. Tumekomalia Simba na Yanga.
Frustration JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 3,151 Reaction score 4,141 Jan 25, 2022 #2,051 Namwona J.Banda tu simuoni P. Banda au Simba tulipigwa?
ESPRESSO COFFEE JF-Expert Member Joined Sep 6, 2014 Posts 6,146 Reaction score 7,676 Jan 25, 2022 #2,052 Refa alisha peta hii Offside
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,302 Jan 25, 2022 Thread starter #2,053 Ila hizi namba katika jezi za Malawi...daah
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,302 Jan 25, 2022 Thread starter #2,054 Na kusajili wachezaji magarasa Pianist said: Dah, yaani unaangalia mpira ukifikiria Stars unasikitika. Tumekomalia Simba na Yanga. Click to expand...
Na kusajili wachezaji magarasa Pianist said: Dah, yaani unaangalia mpira ukifikiria Stars unasikitika. Tumekomalia Simba na Yanga. Click to expand...
changaule JF-Expert Member Joined Jan 10, 2020 Posts 6,047 Reaction score 10,159 Jan 25, 2022 #2,055 OKW BOBAN SUNZU said: Orando Pirates, Banda yeye yupo Simba. zote timu kubwa Click to expand... Aliyeanzishwa hapo ni John Banda, Peter Banda wa Simba yupo benchi
OKW BOBAN SUNZU said: Orando Pirates, Banda yeye yupo Simba. zote timu kubwa Click to expand... Aliyeanzishwa hapo ni John Banda, Peter Banda wa Simba yupo benchi
ESPRESSO COFFEE JF-Expert Member Joined Sep 6, 2014 Posts 6,146 Reaction score 7,676 Jan 25, 2022 #2,056 Frustration said: Namwona J.Banda tu simuoni P. Banda au Simba tulipigwa? Click to expand... Banda ana Mida Yake Kaa kwa kutulia, Kuna Mcheza Kaitwa Hajagusa hata Pitch Ya Afcon wala Mpira wa Afcon hata wale ball boys wamegusa sana kuliko yeye
Frustration said: Namwona J.Banda tu simuoni P. Banda au Simba tulipigwa? Click to expand... Banda ana Mida Yake Kaa kwa kutulia, Kuna Mcheza Kaitwa Hajagusa hata Pitch Ya Afcon wala Mpira wa Afcon hata wale ball boys wamegusa sana kuliko yeye
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,302 Jan 25, 2022 Thread starter #2,057 ESPRESSO COFFEE said: Refa alisha peta hii Offside Click to expand... Huyu refa ni raia wa Burundi, kuna mechi alichezesha Simba na Kaizer Chiefs alituua sana
ESPRESSO COFFEE said: Refa alisha peta hii Offside Click to expand... Huyu refa ni raia wa Burundi, kuna mechi alichezesha Simba na Kaizer Chiefs alituua sana
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 58,020 Reaction score 134,226 Jan 25, 2022 #2,058 Frustration said: Namwona J.Banda tu simuoni P. Banda au Simba tulipigwa? Click to expand... Timu haiwezi kuingiza wachezaji wote 28 uwanjani
Frustration said: Namwona J.Banda tu simuoni P. Banda au Simba tulipigwa? Click to expand... Timu haiwezi kuingiza wachezaji wote 28 uwanjani
Smith Rowe JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 4,513 Reaction score 9,553 Jan 25, 2022 #2,059 Hebu mtu anyanyuke akamwambie kocha awaambie vijana wetu watulie waeke mpira chini.
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 58,020 Reaction score 134,226 Jan 25, 2022 #2,060 ESPRESSO COFFEE said: Banda ana Mida Yake Kaa kwa kutulia, Kuna Mcheza Kaitwa Hajagusa hata Pitch Ya Afcon wala Mpira wa Afcon hata wale ball boys wamegusa sana kuliko yeye Click to expand... Mtaje 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
ESPRESSO COFFEE said: Banda ana Mida Yake Kaa kwa kutulia, Kuna Mcheza Kaitwa Hajagusa hata Pitch Ya Afcon wala Mpira wa Afcon hata wale ball boys wamegusa sana kuliko yeye Click to expand... Mtaje 🤣🤣🤣🤣🤣🤣