GE2025 2020 wajumbe wa CCM hawakuheshimiwa kwa maamuzi yao wakakaa kimya. Leo Samia ameiga ya 2020 kwanini imekuwa nongwa?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,169
Reaction score
48,681
Ndio maana Mimi kila siku nasema kuwa Watanzania wana mtindio wa ubongo. Mtu mwenye mtindio wa ubongo akili yake haiko straight. Mtu mwenye mtindio wa ubongo hapaswi kuaminika, anasahau hovyo.
Brother wangu 2015 kwenye kura za maoni CCM kwa ngazi ya udiwani alikuwa nafasi ya tatu lakini kwa kuheshimu jina letu kule wilayani akapewa udiwani na mtu wa kwanza na wa pili wakaachwa. Hili jambo lilitokea kata nyingi Tanzania na baadhi ya majimbo ilikuwa the same. Mnakumbuka kule Kawe.
Wananchi wakakaa kimya, wajumbe wakaa kimya.
Samia kaiga ule mchezo wa Magufuli kelele nyingi sana nchi yote.
Mambo ya uhuni mengi ya awamu hii ya Samia ni kivule cha utawala wa Magufuli.
Yaani kipindi cha Magufuli hali ilikuwa mbaya sana. Sio utekaji, sio mauaji, sio kufilisiana n.k lakini watu wachache tu tulipiga kelele.
Leo hii kila mtu anajifanya anataka haki.
Unafiki mkubwa.
Lipeni kodi tule maana Watanzania bado hamumjui adui yenu. Mnaendeshwa kwa upepo.
 
Huwezi kuwa pamoja na Samia ukawa na akili timamu. Waliopo pamoja na Samia 99.99% ni majinga na mapumbavu. Unakuwaje pamoja na jitu linalouza mgodi wa almasi kwa billion 30
 
Tutaona pwagu nyingi sana.

Unataka hadi na wao wauzwe?
 
Nenda Kwenye Vikao Vya Chama Ukawaulize,sasa Unatuambia Sisi Ni Makada ? Sisi Tuwe Na Nongwa Na Mambo Ya Chama Chenu ?
Sisi Tunajua 2025 Uchaguzi Haupo
Tunawashangaa Mnavyoigiza.
 
Ni muhimu kujitafakari kabla haujaandika jambo lolote maana maoni yako wasomaji wanayonafasi ya kukuhoji na kukuhukumu au kukupongeza ila msingi zaidi watatazama umelenga kupeleka ujumbe gani kwa jamii.

Sasa hapa nikuulize:

1. Wewe unafurahishwa na mwenendo wa samia?
2. Kipindi cha magufuri watu hawakuwa wakiandika kukemea rafu na uharibifu katika chaguzi za mwaka ule?
3. Why umerejea waliounga mkono uharibifu kipindi kile mbona haujawarejea waliokuwa wakimpinga na kumshambulia magufuri kwa uharibifu aliokuwa akifanya?

4. Kama kipindi hicho ulishuhudia uharibifu na kukemea why saa hii ni kama una uhalalisha,wewe kweli ni msema ukweli au ni msema chochote?

5. Andiko lako limelenga kuwasuta wanaokemea sasa kwasababu wewe haukerekwi tena au limelenga kusimama upande gani?

6. Kwako kipi muhimu, masilahi ya chama,kundi fulani la watu au masilahi ya taifa na jamii kwa ujumla?
 
Ndio maana Mimi kila siku nasema kuwa Watanzania wana mtindio wa ubongo. Mtu mwenye mtindio wa ubongo akili yake haiko straight. Mtu mwenye mtindio wa ubongo hapaswi kuaminika, anasahau hovyo.
Brother wangu 2015 kwenye kura za maoni CCM kwa ngazi ya udiwani alikuwa nafasi ya tatu lakini kwa kuheshimu jina letu kule wilayani akapewa udiwani na mtu wa kwanza na wa pili wakaachwa. Hili jambo lilitokea kata nyingi Tanzania na baadhi ya majimbo ilikuwa the same. Mnakumbuka kule Kawe.
Wananchi wakakaa kimya, wajumbe wakaa kimya.
Samia kaiga ule mchezo wa Magufuli kelele nyingi sana nchi yote.
Mambo ya uhuni mengi ya awamu hii ya Samia ni kivule cha utawala wa Magufuli.
Yaani kipindi cha Magufuli hali ilikuwa mbaya sana. Sio utekaji, sio mauaji, sio kufilisiana n.k lakini watu wachache tu tulipiga kelele.
Leo hii kila mtu anajifanya anataka haki.
Unafiki mkubwa.
Lipeni kodi tule maana Watanzania bado hamumjui adui yenu. Mnaendeshwa kwa upepo.
Huna akili kabisa na haujui kwamba mfumo uliotumika 2020 ni tofauti na w 2025.

Mwaka 2020 walikusanya maoni kwanza ndiyo wanakata ila mwaka 2025 wanakata kwanza alafu wanaenda kwenye kura za maoni, baadae wanakata tena!. Yani kamati kuu inakata mara mbili
 
Kama 2020 walifanya jambo ambalo ni tofauti na miaka mingine lakini mlikaa kimya kwanini mwaka 2025 mlipoletewa mabadiliko mapya mnatia kelele?
Acheni uzushi na unafiki.
Kwani katiba ya CCM si imesema kuwa mkutano mkuu au kamati kuu wanaweza kuamua jambo lolote watakaloona linafaa?
Mambo ya CCM waachie wenyewe.
Wewe lipa kodi tununue ticket za kwenda Dodoma kwa ATCL shirika lipate pesa
 
Ndio maana Mimi kila siku nasema kuwa Watanzania wana mtindio wa ubongo. Mtu mwenye mtindio wa ubongo akili yake haiko straight. Mtu mwenye mtindio wa ubongo hapaswi kuaminika, anasahau hovyo.
Brother wangu 2015 kwenye kura za maoni CCM kwa ngazi ya udiwani alikuwa nafasi ya tatu lakini kwa kuheshimu jina letu kule wilayani akapewa udiwani na mtu wa kwanza na wa pili wakaachwa. Hili jambo lilitokea kata nyingi Tanzania na baadhi ya majimbo ilikuwa the same. Mnakumbuka kule Kawe.
Wananchi wakakaa kimya, wajumbe wakaa kimya.
Samia kaiga ule mchezo wa Magufuli kelele nyingi sana nchi yote.
Mambo ya uhuni mengi ya awamu hii ya Samia ni kivule cha utawala wa Magufuli.
Yaani kipindi cha Magufuli hali ilikuwa mbaya sana. Sio utekaji, sio mauaji, sio kufilisiana n.k lakini watu wachache tu tulipiga kelele.
Leo hii kila mtu anajifanya anataka haki.
Unafiki mkubwa.
Lipeni kodi tule maana Watanzania bado hamumjui adui yenu. Mnaendeshwa kwa upepo.
Unawezaje kuiga ujinga halafu uachwe tu? Hivi nyie Chawa huwa mnapima maneno yenu??

Yaani kwa sababu mama yako alipigwa mimba na mlevi ukazaliwa wewe basi hata Mkeo ni Ruksa kugegedwa mbele yako?

Takataka
 
Ni muhimu kujitafakari kabla haujaandika jambo lolote maana maoni yako wasomaji wanayonafasi ya kukuhoji na kukuhukumu au kukupongeza ila msingi zaidi watatazama umelenga kupeleka ujumbe gani kwa jamii.

Sasa hapa nikuulize:

1. Wewe unafurahishwa na mwenendo wa samia?
2. Kipindi cha magufuri watu hawakuwa wakiandika kukemea rafu na uharibifu katika chaguzi za mwaka ule?
3. Why umerejea waliounga mkono uharibifu kipindi kile mbona haujawarejea waliokuwa wakimpinga na kumshambulia magufuri kwa uharibifu aliokuwa akifanya?

4. Kama kipindi hicho ulishuhudia uharibifu na kukemea why saa hii ni kama una uhalalisha,wewe kweli ni msema ukweli au ni msema chochote?

5. Andiko lako limelenga kuwasuta wanaokemea sasa kwasababu wewe haukerekwi tena au limelenga kusimama upande gani?

6. Kwako kipi muhimu, masilahi ya chama,kundi fulani la watu au masilahi ya taifa na jamii kwa ujumla?
Ninachopinga ni unafiki.
Hawa maaskofu na wachungaji wanaokemea utekaji sasa kipindi cha Magufuli walikaa kimya ilhali kipindi kile watu wengi zaidi walitekwa na kuuwawa.
Kuhusu kuvunja katiba ya nchi na chama kipindi cha Magufuli ilikuwa jambo la kawaida tu. Baada ya kupita 2021 waliandaa mchakato wa kupeleka bungeni ukomo wa Urais , Polepole alikuwa miongoni mwa wanamchakato.
Wale waliokemea ushenzi kipindi cha Magufuli ndio wakemee kipindi hichi cha Samia wengine wote wakalishe makalio yao chini
 
Ninachopinga ni unafiki.
Ni vizuri kupinga unafiki na double standards.
Hawa maaskofu na wachungaji wanaokemea utekaji sasa kipindi cha Magufuli walikaa kimya ilhali kipindi kile watu wengi zaidi walitekwa na kuuwawa.
Labda kama ulikuwa haufuatilii mitandaoni kama Twitter maaskofu na wachungaji wengi tu walipigia kelele uvunjifu wa katiba na sheria na waraka zilindikwa.
Kuhusu habari ya utekaji nadhani hali ya sasa umezidi kuwa mbaya zaidi matukio ya utekaji yamekuwa mengi zaidi na ugaidi wa kimamlaka kwasasa unafanywa kiholela sana.
Kuhusu kuvunja katiba ya nchi na chama kipindi cha Magufuli ilikuwa jambo la kawaida tu. Baada ya kupita 2021 waliandaa mchakato wa kupeleka bungeni ukomo wa Urais , Polepole alikuwa miongoni mwa wanamchakato.
Lakini bado hali ni vile vile na sasa imezidi kuwa mbaya. Na niseme tu kwa wakati ule wengi wa ambao walikuwa wakipiga vita mitandaoni kwasasa wamerudi kwenye mifumo ya udokozi na ndio maana kelele zinasikika upande wa Kanisa katoliki, wachungaji mbali mbali na kadhalika.
Wale waliokemea ushenzi kipindi cha Magufuli ndio wakemee kipindi hichi cha Samia wengine wote wakalishe makalio yao chini
Mimi nikiingia Twitter naona watu wale wale wakiongea kama kipindi kile ila kuna baadhi siwaoni sasa wakati kipindi kile walikuwa very active labda kwasababu wamerejea kwenye ulaji.

Anyways tujikite zaidi kwenye kukemea uovu na kutafuta suluhu ya kuwatoa mashetani wala watu.
 
Back
Top Bottom