2020 twende na Membe ama January Makamba?

2020 twende na Membe ama January Makamba?

Muda Wa kampeni bado...alafu Membe hawezi kuongoza hii nchi...tunahitaji mkono Wa chuma na sikina Kikwete
 
Magufuli ni kiongozi tofauti sana ....Ngumu kumeza ila atatufikisha ...nyakati hizi hatuitaji waimba taarabu mana tulishakua nao na hawakutusaidia kitu....#HAPAKAZI
 
Kwa Membe hapana aisee rudini mjipange mbadala wa Magufuli hawezi kuwa Membe
 
anaharibiwa na hao ambao wameanza kampeni sana kabla ya muda,hoja kuwa cheo hakina haki miliki,kumbuka kila kitu kipo kwa mujibu wa katiba,sheria,kanuni na utamaduni wa nchi au taasisi fulani
Tuoneshe ndani ya Katiba wapi imeelezwa kipindi gani mtu ndio anaruhusiwa kutia nia??
 
katiba imesema wazi muda wa uongozi ni miaka 5,sasa kila chama kina utaratibu wake huyo membe mnayemuombea awe rais ni mwana ccm hivyo ni lazima afate utaratibu wa chama hicho labda kama mnataka ahame ccm
 
AMa kweli Membe atatufaa.
ACACIA lazima waendelee kubeba MAdini yetu.
Atabomoa SGR, IPTL atairudisha., Fly over za nini, Atazuia upanuaji wa barabara ili watu wasibomolewe nyumba zao na wafanye biashara hadi barabarani
Maisha ya madili yatarudi kama zamani.
Mo na Manji kuna watu huku tunatamani mtusaidie kuturudisha TULIKOKUWA!
enzi za wafanyakazi hewa na vyeti feki!
tuondoleeni Ngosha jamani.
KWELI WASHAMBA WAMEKABIDHIWA NCHI ULIMBUKENI MTUPU
 
Hivi unategemea maisha mazuri akuletee nani mkuu? Embu niambie toka Awamu ya kwanza hadi hii ya Tano awamu hipi ilikuwa na maisha mazuri? Unategemea huko mbele kutakuwa na maisha mazuri? unategemea huko mbele utakuja kutumia Tsh 500 kwa mlo mmoja wewe na familia yako kama enzi ya Mkapa? SAHAU HILO MJOMBA. Ninapokuambia nyosha kidole sina maana nataka urudi darsani.
Sasa kumbe unalialia nini juu ya wapiga deal?
 
Jamani tulikuwa tunalia usiku na mchana kuwa tunahitaji rais mkali mzalendo, mwenye maamuzi magumu, mwenye kulinda raslimali za nchi kwa nguvu yoyote ile; tukampata jpm hala mnambeza tena, ' maskini haridhiki' ngoja waje hao tunaowataka nao tuwaone
Hana uzalendo, mbona amechota til1.5? Huyu ni mwizi kuliko waliotangulia.
 
Membe ataweka ndani wote waliouza nyumba za serikali Kimagumashi, na kununua kivuko kinachokwenda kwa mwendo wa Kobe.
Atafyekelea mbali walioyeyusha Trilion 1.5, na atawasweka ndani wanaoitia nchi gharama za kurudia chaguzi kwa kuwahonga watu ili waunge mkono Juhudi!.

Membe hatopambana na Mafisadi kwa Maneno matupu yenye Hisia Kali, bali ATAYAKAMATA MAFISADI NA KUYAPELEKA MAHAKAMANI
Kikubwa zaidi Membe atatuletea Katiba mpya kama Ilani ya Uchaguzi ya CCM inavyosema!


Mwenye uhakika kuwa Membe hakununua nyumba ya serikali kwa bei chee naomba asimame
 
Tumuunge Mkono, tuwe naye, tumpe sapoti ili asimame na atuongoze.
47379674_10205038323594301_6132368315412119552_n.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom