2020 twende na Membe ama January Makamba?

2020 twende na Membe ama January Makamba?

Binafsi mpk sasa jiwe anafanya vizuri mno,ukiondoa makosa anayoyafanya kumlinda dab,na kujaribu kuua upinzani,kwingine anafanya vizuri mno!
 
Mi sijapembua awe nani ila nimependa ulichoandika, naunga mkono juhudi zako
 
Ngoja niangalie wanaonufaika na awamu ya Tano mapovu yao
 
Umedumaa akili wewe! Unaweza ukajiona ni mtoto wa mjini kumbe unaiga na ukawa mshamba tena zaidi ya washamba. Usipende kuigiza katika maisha.
Binafsi sio mfuasi wa CCM Wala CHADEMA... Ila kwa mfumo wa nchi yetu bado kuna uwezekano mkubwa tuu CCM ikaendelea kutawala.. JF watu wenye akili kubwa nadhani hapa tayari mmejua sababu nini siwezi rudia maana yameongelewa vya kutosha..

Kwanini Membe ama January binafsi hawa jamaa nimewatathimini na kuona wanafaa kabisa wana CCM msituangushe..

Kwanza tunahitaji raisi ambaye ni mjanja mtoto wa mjini ambae anajua namna ya kuendana na kasi ya science na technology sio huyu jamaa anapenda ukoloni na kuturudisha maisha ya kizamani kama maswala ya vyama vya wakulima ilihali now day's ni soko hulia... Uza na nunua popote unapotaka dunia...

Pili chama ana nchi anaiendesha kwa mfumo wa kizamani yani wa kikoloni a kifalme kama vile nchi yake wakati anamiaka kadhaa tuu anaondoka anatuacha wananchi...mtoto wa mjini hawezi kufanya hivyo

Msemaji ni mmoja tuu nchi nzima na neno lake ni sheria huo nao ni ushamba lazima usikilize wenzio wanasema nini..

NI MAMBO MENGI YA KISHAMBA SHAMBA SIWEZI YAANDIKA YOTE NA YANATIA KINYAA.. UNAWEZA ONGEZEA HAPO..

ni wakati sasa nchi warudishiwe wajanja na watoto wa mjini... Kati ya MEMBE AMA JANUARY...

NANI UNAONA ANAFAA KUKUONGOZA KATI YA HAO WAWILI
 
Umedumaa akili wewe! Unaweza ukajiona ni mtoto wa mjini kumbe unaiga na ukawa mshamba tena zaidi ya washamba. Usipende kuigiza katika maisha.
Kwahiyo wewe ni magufuri mwenyewe ama tumsuburi yeye aje? Afanye ku reply
 
Tayari upepo wa uchaguzi wa mwaka 2020 umeanza kuvuma, sisi wapenda soka bila shaka tunayo maamuzi ya kufanya kwa mustakbali wa maendeleo ya soka letu na nchi yetu.

Tunaamini chini ya Utawala wa Membe viongozi wa vilabu vyetu ndugu Mohammed Dewji (Mo) na Ndugu yetu Yusuph Manji watapata kila sapoti kutoka katika serikali yake ili kuweza kuvipaisha vilabu vyetu kufikia mafanikio makubwa katika soka la Afrika.

Ndugu Membe ni mpenda michezo, ni rafiki wa wanamichezo, Chini ya uongozi wake akiwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Kimataifa wamekuja akina Louis Figo, Patrick Kluivert, Brazil, etc

2020 Twende na Membe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom