Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,639
Saa 10:25 aflajiri hii mkuu unaandika uzi wakati mods wameuchapa usingizi
Kaza roho hapa kazi tuu!!Katika Mazingira kama haya, ndiyo maana nimeamka na kusema twende na Membe tu 2020 haya mambo hayatakuwepo!
- Nitalalaje wakati nchi iko njia panda?. Furaha gani niliyokuwa nayo mimi mpaka nilale usingizi mnono!
- Mfukoni chapaa hakuna, kuna watu wamepotea mpaka sasa hawajulikni wlipo, mishahara wafanyakazi hawaongezwi kwa mujibu wa sheria, trilioni 1.5 zimeyeyuka, tuna hela za kurudia chaguzi za kuunga mkono juhudi lakini hatuna hela za katiba ya wananchi.
- Nitalalaje wakati tunaambiwa imeundwa mhakama ya mafisadi lakini waliotajwa kwenye ripoti ya makinikia bado wapo mtaani wanadunda.
- Nitalalaje wakati wote waliotajwa kwenye listi ya madawa ya kulevya hakuna hata mmoja aliyeko jela?
- Hebu niambie utalalaje wakati kuna wananchi wanavunjiwa nyumba halafu wengine wanaambiwa wasivunjiwe kwa sababu walimpa mtu kura.
- Niambie wewe mwenyewe, ulale, usingizi utoke wapi wakati kiongozi anayepaswa kuheshimu sheria anaagiza mzigo kutoka nje ya nchi , mzigo unafika bandarini halafu anataka kukwepa kodi na bado anaachwa ofisini aendelee na kazi ya kuhimiza watu walipe kodi!
- hebu ndugu yangu tusemezane, utalala usingizi utatoka wapi wakati kuna watu wamefukuzwa kazi kwa vyeti feki lakini mwingine anaambiwa achape kazi tu maadamu anajua kusoma na kuandika
- Nitalalaje kwa mfano ili iweje wakati ndoto ya nchi yangu kupata Trilion 425 sawasawa na Noah Moja kwa kila mtu imepotea
- Sijui wewe mwenzangu, Lakini mimi nimeshindwa kulala kwa sababu serikali hii imekataa kutekeleza ilani ya chama, imekataa kutoa milion 50 kila kijiji, imekataa watoto wanaopata ujauzito kuendelea na masomo, imekataa kukamilisha mchakato wa katiba kinyume cha ilani. Katika mazingira kama hayo nitalalaje mimi?
- Nitalalaje wakati Trafiki wanaambiwa buku tano ni hela zakung'arisha viatu, naumiza kichwa nitazipata wapi buku tano za kumpa afande ang'arishe viatu
- Nitalalaje wakati Mbunge wa bungela Jamhuri ya Muungano yupo nje anatibiwa kwa pesa za hisani ya serikali nyingine wakati serikali yake yenyewe imekataa kumpa hata senti tano. nitalalaje mimi kwa mfano!
hizi kampeni za membe kwa muda huu zinamharibia kabisa,kama ni yeye ndio anazifanya atafeli,kama ni nyie wafuasi wake mnamharibia kabisa
Membe toshahizi kampeni za membe kwa muda huu zinamharibia kabisa,kama ni yeye ndio anazifanya atafeli,kama ni nyie wafuasi wake mnamharibia kabisa
hizi kampeni za membe kwa muda huu zinamharibia kabisa,kama ni yeye ndio anazifanya atafeli,kama ni nyie wafuasi wake mnamharibia kabisa
anaharibiwa na hao ambao wameanza kampeni sana kabla ya muda,hoja kuwa cheo hakina haki miliki,kumbuka kila kitu kipo kwa mujibu wa katiba,sheria,kanuni na utamaduni wa nchi au taasisi fulani
MAFISADI yalikuwa na hati miliki.Japo simkubali Membe, ila nataka kujua anaharibiwa kwa nani. Ni nani huyo mwenye haki miliki ya cheo hadi wengine wasikihitaji hicho cheo?
MAFISADI yalikuwa na hati miliki.
Sasa sijui huyu Ngosha alipitapitaje? MADILI yetu yameparanganyika.
Membe Tosha!
Atasaidia kuirudisha nchi TULIKOTOKA.
Kule kwa wafanyakazi HEWA, Kwa wenye vyeti FEKI, Kwa akina ESCROW, kwa maRICHMOND, Kwa wauza Ngada.
Manji na MO tusaidieni TURUDI TULIKOKUWA! kwenye Nchi ya MADILI!
Membe TOSHAAAAAA!
Tusitegemee mabadiliko yoyote bila kuwa na katiba mpya. Hata huyo Membe atayafanya yaleyale tu.
AMa kweli Membe atatufaa.Membe ataweka ndani wote waliouza nyumba za serikali Kimagumashi, na kununua kivuko kinachokwenda kwa mwendo wa Kobe.
Atafyekelea mbali walioyeyusha Trilion 1.5, na atawasweka ndani wanaoitia nchi gharama za kurudia chaguzi kwa kuwahonga watu ili waunge mkono Juhudi!.
Membe hatopambana na Mafisadi kwa Maneno matupu yenye Hisia Kali, bali ATAYAKAMATA MAFISADI NA KUYAPELEKA MAHAKAMANI
Kikubwa zaidi Membe atatuletea Katiba mpya kama Ilani ya Uchaguzi ya CCM inavyosema!
AMa kweli Membe atatufaa.
ACACIA lazima waendelee kubeba MAdini yetu.
Atabomoa SGR, IPTL atairudisha., Fly over za nini, Atazuia upanuaji wa barabara ili watu wasibomolewe nyumba zao na wafanye biashara hadi barabarani
Maisha ya madili yatarudi kama zamani.
Mo na Manji kuna watu huku tunatamani mtusaidie kuturudisha TULIKOKUWA!
enzi za wafanyakazi hewa na vyeti feki!
tuondoleeni Ngosha jamani.