2020 twende na Membe ama January Makamba?

2020 twende na Membe ama January Makamba?

Kaza roho hapa kazi tuu!!
Kazi gani unayoitegemea kwa wafanyakazi wasiopanda madaraja na kupewa nyongeza za mishahara kwa miaka 3.

Mnachoongea majukwaani na mnachokitekeleza ni vitu viwili tofauti
 
Nafahamu alijiunga baada ya kumnyima kijiti kugombea urais kwa tiketi ya ccm na kumuweka katika kundi la wasio na nidhamu.

Membe amejiunga lini???
Mkuu ruhusu ubongo wako uwe huru acha Kuwa mtumwa wa fikra
Hahahaa wewe kweli ni mgeni hapo Ufipa, Salary slip msaidie huyu dogo hivi Sumaye mlimpokea lini hapo Chadema!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom