Membe ndio onjo la sasa hivi mkaribisheni muone lazima mtakubali tu kuwa ndiye aliyetakiwa kuwaAhaaa haaa haaa
tulisha choka na diplomasia. karibu miaka 20 tuko na demokrasia, lkn hazikutusaidia.
acha tujaribu kitu tofauti.
Sky Eclat Tuko pamoja hakuna namna hamna jinsi2020 twende na Membe
Membe ndio onjo la sasa hivi mkaribisheni muone lazima mtakubali tu kuwa ndiye aliyetakiwa kuwa
Hakuna kitu kama hicho 2020 ndio safari imeanza sasaasubiri ishirini ishirini na tano
Utajificha wapi 2020Hakuna kitu kama hicho 2020 ndio safari imeanza sasa
Kwani kamati kuu ni ya mtu mmoja au kuna mtu aliyeiweka kamati kuu mfukoni mwake?October 2020 mkigalagazwa sijui mtasema Nondo for 2025 mabavicha bhana,yanaichukia CCM halafu leo yanasema Benard Membe for 2020 utafikir yapo kwenye kamati kuu!
Hakuna kitu kama hicho 2020 ndio safari imeanza sasa
Utajificha wapi 2020
Ni miongoni mwa wale wajumbe wa kamati kuu?Kwani kamati kuu ni ya mtu mmoja au kuna mtu aliyeiweka kamati kuu mfukoni mwake?
Njoo PM tubadirishane no za simu halafu 2020 tutafutane!weeeeeeee kujificha????? acha kabisa
Hayo maneno ya kweli na ushari mzuri lazima azingatie yote haya.Alipo tupo.....twende na Membe 2020 huyu anayesema yeye alisukumiwa urais apumzike tu kiukweli .....walio karibu na Membe tunaomba mfikishieni salamu kwamba tunamuhitaji sanaa...Kwenye hicho kikao walichomuitia huko Lumumba aende na maiki yake, asile wala kunywa chochote, kiti walichomwandalia asikalie, ni hayo tu
Na asipofika je .Tumuunge Mkono, tuwe naye, tumpe sapoti ili asimame na atuongoze.
View attachment 952718