2020 sitampa kura Magufuli

😳😳😳😳😳
 
Kawasaidia nini sasa mana kumtumbua mtu afu mtu wa chini maisha yake hayabadiliki maana yake nini nilitegemea mtu wa chini afanane na wa juu sio wa juu aganane na wachini
 
Mkuu upo nje ya Tz nn? Toka aingie mpaka leo hakuna Jipya, hospital hamna Jipya ni yaleyale, Gharama za maisha zimepanda sana, kifp kachokwa mapema sana

Anagalia TCRA
 
Hilo halina ubishi lazima umpe Bebi wako magufuli hana shida na kura za Mabebizi
 
Amepunguzaje hilo gap,kwa kutumbua majipu au?? Hivi unajua maana ya kupunguza gap kati ya walionacho na wasionacho??
 

hahahahaa...tatizo hao watu unaowasema ni wajinga...nenda kawaulize maisha kwao yamezidi kuwa magumu au yamekuwa nafuu?
 
Ndo maana tulisema,ccm inatumia umbumbumbu wa watanzania walio weng kama mtaj wao ktk siasa.maana kinachofanyka saiv ni ushabk paspo na impact zozote
 

Ninakatwa bima ya afya zaidi ya 90000 kwa mwezi cha ajabu bima hii haina msaada wowote kwangu kwakua vitu vingi ambavyo bima ilitakiwa kuwa ina cover vimeondolewa!!!!

Serikali inamkamua mtumishi bila huruma but Huduma ni mbovu na hakuna dalili za kuboreka!!

Magufuli sijui anatetea wanyonge gani kama hali za wanyonge ni duni namna hii....
 
Tushawazoea wazungusha mikono,na sasa itabidi mzungushe viuno.
 
Wewe unataka hao washauri wazuri wamshari kufanya kitu gani? Aache ufisadi uendelee ili watu wawe na fedha za kuzungusha na kusambaza mtaani? Aache kudhibiti sukari ili sukari zisizo na kiwango zieendelee kuingia na kudhuru afya zetu na viwanda vyetu vya sukari? Unapolaumu toa na suluhisho.
 
Tushawazoea nyingi wazungusha mikono,na sasa itabidi mzungushe viuno.
Hahaha hata mimi niliwatukana wazungusha mikono sana ila kwa anakoelekea huyu bwana mkubwa hapana! Labda chama kisimamishe mtu mwingine 2020
 

Hilo gap la aliyenacho na asiyenacho limepunguzwa kwa kuwaongezea wasio nacho wafanane na walionacho au kuwabomoa walionacho wawe kama wasionacho?

Kwahiyo wananchi wamefurahia hali hii ya sasa?
 
Umekatiwa kamrija kako nini!
 
UKIONA WATU WANAPATA SHIDA NA JPM JUA NAO NI MAJIPU!!!
 
Hata mwaka Jana hujampa kura Na kashinda!
Kwahiyo wewe endelea tu kuzungusha mikono!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…