jun255
JF-Expert Member
- Nov 14, 2015
- 391
- 280
Huwa naamini ninaona mbali kuliko hapa nilipo kwa kutumia matukio ya hapa nilipo
Sikumpa kura yangu Lowasa kwa sababu niliamin alikuwa ameoza na angeifanya nchi Shamba la bibi
Lakini ikitokea hakuna mpinzani mwenye nguvu atakayegombea tofauti na Lowasa basi nitampa Lowasa kura yangu
Bora fisadi lakini nchi inaenda kuliko msafi lakini nchi inatumbukia shimoni huku tukishangilia utumbuaji wa vidagaa