2020 sitampa kura Magufuli

Kuna kale ka issue ka uuzwaji wa nyumba za serikali mkuu, unakakumbuka eeh!? Basi basi nyamaze na usome kimya kimya watu wasisikie!

Hii ndio si hasa ndani ya mama Tanzania, na hapa ni kulizima bunge kuruka live maana upande wa pili watatuumbua, kale kamchezo ka jana kumzuia Lema kusoma Hotuba yake ya wizara ya mambo ya ndani tulikamilisha,

Tunataka mtusifu tu na kutuongelea yale yanayotufurahisha tu otherwise tunawafyatisha,

Sanaa as usual in our good country and snitches leaders.
:oops::oops::oops::oops::oops:
 
Wananchi wote ndo watapima na kuamua wampe nani Kura..ukitaka kujua hilo vunja serikali leo urudi kwenye uchaguzi tena uone nani ataambulia Kura.3..mim siasa sizijui vizuri ila nnachokiona kwa sasa magufuli kateka minds za watu wa hali ya chini kimaisha ambao ni kundi kubwa la watanzania kwa kupunguza gap kubwa la alyenacho na asie nacho
Kawasaidia nini sasa mana kumtumbua mtu afu mtu wa chini maisha yake hayabadiliki maana yake nini nilitegemea mtu wa chini afanane na wa juu sio wa juu aganane na wachini
 
Huwa naamini ninaona mbali kuliko hapa nilipo kwa kutumia matukio ya hapa nilipo

Sikumpa kura yangu Lowasa kwa sababu niliamin alikuwa ameoza na angeifanya nchi Shamba la bibi

Lakini ikitokea hakuna mpinzani mwenye nguvu atakayegombea tofauti na Lowasa basi nitampa Lowasa kura yangu

Bora fisadi lakini nchi inaenda kuliko msafi lakini nchi inatumbukia shimoni huku tukishangilia utumbuaji wa vidagaa
Hilo halina ubishi lazima umpe Bebi wako magufuli hana shida na kura za Mabebizi
 
Wananchi wote ndo watapima na kuamua wampe nani Kura..ukitaka kujua hilo vunja serikali leo urudi kwenye uchaguzi tena uone nani ataambulia Kura.3..mim siasa sizijui vizuri ila nnachokiona kwa sasa magufuli kateka minds za watu wa hali ya chini kimaisha ambao ni kundi kubwa la watanzania kwa kupunguza gap kubwa la alyenacho na asie nacho
Amepunguzaje hilo gap,kwa kutumbua majipu au?? Hivi unajua maana ya kupunguza gap kati ya walionacho na wasionacho??
 
Wananchi wote ndo watapima na kuamua wampe nani Kura..ukitaka kujua hilo vunja serikali leo urudi kwenye uchaguzi tena uone nani ataambulia Kura.3..mim siasa sizijui vizuri ila nnachokiona kwa sasa magufuli kateka minds za watu wa hali ya chini kimaisha ambao ni kundi kubwa la watanzania kwa kupunguza gap kubwa la alyenacho na asie nacho

hahahahaa...tatizo hao watu unaowasema ni wajinga...nenda kawaulize maisha kwao yamezidi kuwa magumu au yamekuwa nafuu?
 
Wananchi wote ndo watapima na kuamua wampe nani Kura..ukitaka kujua hilo vunja serikali leo urudi kwenye uchaguzi tena uone nani ataambulia Kura.3..mim siasa sizijui vizuri ila nnachokiona kwa sasa magufuli kateka minds za watu wa hali ya chini kimaisha ambao ni kundi kubwa la watanzania kwa kupunguza gap kubwa la alyenacho na asie nacho
Ndo maana tulisema,ccm inatumia umbumbumbu wa watanzania walio weng kama mtaj wao ktk siasa.maana kinachofanyka saiv ni ushabk paspo na impact zozote
 
Huwa naamini ninaona mbali kuliko hapa nilipo kwa kutumia matukio ya hapa nilipo

Sikumpa kura yangu Lowasa kwa sababu niliamin alikuwa ameoza na angeifanya nchi Shamba la bibi

Lakini ikitokea hakuna mpinzani mwenye nguvu atakayegombea tofauti na Lowasa basi nitampa Lowasa kura yangu

Bora fisadi lakini nchi inaenda kuliko msafi lakini nchi inatumbukia shimoni huku tukishangilia utumbuaji wa vidagaa

Ninakatwa bima ya afya zaidi ya 90000 kwa mwezi cha ajabu bima hii haina msaada wowote kwangu kwakua vitu vingi ambavyo bima ilitakiwa kuwa ina cover vimeondolewa!!!!

Serikali inamkamua mtumishi bila huruma but Huduma ni mbovu na hakuna dalili za kuboreka!!

Magufuli sijui anatetea wanyonge gani kama hali za wanyonge ni duni namna hii....
 
Nakupa mwaka mmoja hata wananchi wa hali ya chini watakuwa wanamchukia!
Huwez kumpenda mtu kisa anatumbua majipu wakati sukari imepanda bei,mchele,bidhaa mbali mbali
Vifaa vya ujenzi na maisha yanazidi kuwa magumu
Nakuapia huyu jamaa hataishia kwenye sukari pekee! Atakurupuka na kwenye vitu vingine na hapo ndipo atakapozidi kufanya watu wamjue vzr!

Shika maneno yangu" ! Huyu jamaa asipokubali kupata washauri bora na afate ushauri wao basi Tanzania haina future yoyote
Wewe unataka hao washauri wazuri wamshari kufanya kitu gani? Aache ufisadi uendelee ili watu wawe na fedha za kuzungusha na kusambaza mtaani? Aache kudhibiti sukari ili sukari zisizo na kiwango zieendelee kuingia na kudhuru afya zetu na viwanda vyetu vya sukari? Unapolaumu toa na suluhisho.
 
Wananchi wote ndo watapima na kuamua wampe nani Kura..ukitaka kujua hilo vunja serikali leo urudi kwenye uchaguzi tena uone nani ataambulia Kura.3..mim siasa sizijui vizuri ila nnachokiona kwa sasa magufuli kateka minds za watu wa hali ya chini kimaisha ambao ni kundi kubwa la watanzania kwa kupunguza gap kubwa la alyenacho na asie nacho

Hilo gap la aliyenacho na asiyenacho limepunguzwa kwa kuwaongezea wasio nacho wafanane na walionacho au kuwabomoa walionacho wawe kama wasionacho?

Kwahiyo wananchi wamefurahia hali hii ya sasa?
 
Huwa naamini ninaona mbali kuliko hapa nilipo kwa kutumia matukio ya hapa nilipo

Sikumpa kura yangu Lowasa kwa sababu niliamin alikuwa ameoza na angeifanya nchi Shamba la bibi

Lakini ikitokea hakuna mpinzani mwenye nguvu atakayegombea tofauti na Lowasa basi nitampa Lowasa kura yangu

Bora fisadi lakini nchi inaenda kuliko msafi lakini nchi inatumbukia shimoni huku tukishangilia utumbuaji wa vidagaa
Umekatiwa kamrija kako nini!
 
Hata mwaka Jana hujampa kura Na kashinda!
Kwahiyo wewe endelea tu kuzungusha mikono!
 
Back
Top Bottom