2020 CHADEMA itapoteza 90% ya wabunge

2020 CHADEMA itapoteza 90% ya wabunge

Mwenzako alitabiri kwamba kufikia 2015 CDM itakuwa imekufa!

Matokeo yake yeye mwenyewe ndiye akafa kisiasa na kaburi lake kufukiwa na Bulaya!

Kila kitu kina mwanzo na huu ndio mwanzo wenu.
 
...... kila anayeitabilia cdm kufa anakufa yeye mfano upo bunda.....
 
Hivi bado tu hujaamini kuwa Cyril Chami amepigwa chini na hatakiwi?
Mkuu naona wakati wa uchaguzi huyu dogo alikuwa mererani akitumika kama nyoka,na baada ya kurudi ndio akapata vijicent vya kununua kamchina
 
Hii thread ya watu wa Lumumba kutoa stress zao hasa baada ya kuona maamuzi ya kufanya vikao vya bunge kuwa siri imewachefua watanzania wote kasoro wale wanaotaka maovu ya ccm yasiwekwe wazi bungeni.
Na ni kujipa liwazo kwa wana lumumba baada ya jana madiwani wa ukawa kustukia janja ya ma ccm kutaka kuwasainisha kanyaboya
 
Uhuru wa habari unatusaidia nini kwani uhuru wa habari unachimba visima vya maji mbona rwanda na islael hakuna uhuru wa habari lkn mambo yanasonga.
Endelea kupiga chakacha na vanga
 
Sidhan, mana bado yale matatizo ya msingi ya waTz wengi hayajatatuliwa.

Kinachofanyika sasa ni kukusanya fedha, kuziba myanya na matumiz mabaya ya fedha (kubana matumizi), bado utekelezaji wa Ilan, ambacho ndo kitu kikubwa zaidi.

Kwahiyo ni mapema mno, kuyasema hayo ..!!
 
Uhuru wa habari unatusaidia nini kwani uhuru wa habari unachimba visima vya maji mbona rwanda na islael hakuna uhuru wa habari lkn mambo yanasonga.

information is power pia usipende kuiga iga kila kitu eti kisa mwenzio anatembea gizani na wewe utembee gizani Utaliwa shauri yako
 
Hii thread ya watu wa Lumumba kutoa stress zao hasa baada ya kuona maamuzi ya kufanya vikao vya bunge kuwa siri imewachefua watanzania wote kasoro wale wanaotaka maovu ya ccm yasiwekwe wazi bungeni.
Hawa jamaa waache waendelee kuota ndoto. Sasa hivi ajira badala ya kuongezeka zinapungua, ujambazi unaongezeka hata Wakala M-PESA anauwawa kwa elfu 50 tuu. Sukari ambayo ni kimbilio la wanyonge Leo Mwanza kuna sehemu 3,000/.
Watu wanataka nafuu ya maisha na hawaioni,, watakula majipu? 2020 ni mbali sana kama hawajipangi kutoa huduma bora, usanii wa media hautasaidia hata kidogo.
 
Nilichogundua hii serikali iliishafika kwenye kilele cha ubora wake na sasa ishaanza kuchokwa
 
Chadema chaliii!..



Hivi na wewe ni "GT"? Ni vizuri ukajipima kama unatosha kuendelea kuwepo jukwaani,kuwa na watu wa aina yako hapa jukwaani ni kulikosea heshima jukwaa hili.Kama huwezi kujenga hoja ni bora ukaendelea kujifunza toka kwa wenzako kwa kusoma hoja zao kuliko kujidharirisha kwa kuandika vitu vya ajabu.
 
Mmboresha mbinu zenu za wizi wa kura sio?
Kama mna jeuri wekeni tume huru ya uchaguzi muone.
Mnacho kifanya ni sawa mbwa koko anayebwekea mpita njia akiwa ndani geti.
 
Kwa kasi hii ya John Pombe Magufuli...sioni chadema ikitusua uchaguzi ujao
.

Chadema Ya Dr. Slaa sio hii ya mashinji .

Chadema sasa imekosa dira....chadema iliyokuwa inapigania ufisadi sasa inatetea ufisadi
.

Chadema ya sasa haiminiki tena ..

Chadema iliyozoea kupata kiki za kisiasa kwa kukosoa serikari , sasa bado inatumia mbinu za zamani., mbinu iliyopitwa na wakati ..

Kwa muono wa mbali na utafiti sioni chadema ikitusua uchaguzi 2020.

Namshauri kamanda wa gia za angani ,ajitathimini alipokosea,kabla chadema haijapotea kabisa.,
Ikiwa Watanzania wataamua hivyo itakuwa ni sawa tu.Ingawa kwa wenye uelewa kukosa upinzani ni janga katika nci kama ya kwetu ambapo wabunge wa chama tawala wanaitetea serikali badala ya kuisimamia.
 
Hii thread ya watu wa Lumumba kutoa stress zao hasa baada ya kuona maamuzi ya kufanya vikao vya bunge kuwa siri imewachefua watanzania wote kasoro wale wanaotaka maovu ya ccm yasiwekwe wazi bungeni.



Hapa ni kwamba tume huru ya uchaguzi ipatikane ndio tutafahamu kwa Ccm ina nguvu.
 
Back
Top Bottom