2020 CHADEMA itapoteza 90% ya wabunge

2020 CHADEMA itapoteza 90% ya wabunge

Kwa vile magu hatabiriki hadi uchaguz ccm watakuwa wamevurugana kwani Mpaka sasa amevuruga wengi ndani ya ccm, yeye anaweza kushinda tena kwa kishindo ila si wabunge wake
 
Kama Mstaafu Mh.Kikwete akijiuunga na Ukawa pamoja na Mh.Pinda...na Warioba..je huoni kwamba UKAWA watashinda
 
Mbunge anazuia mafuriko na mikono!? Watu wengine bhana!
Kuwa kwake jimboni, na kusaidiana na waliomchagua ni mchango mkubwa sana. Lakini kuwa amejikita Dodoma kuendelra kupokea marupurupu na huku anakula kuku kwa mrija, hali wananchi wa jimbo lake wako kwenye. Hiyo haileti Picha nzuri. Wakati wa shida ni lazima awe jimboni ili aweze kusaidia kwa uwezo wake.
 
Kwa kasi hii ya John Pombe Magufuli...sioni chadema ikitusua uchaguzi ujao
.

Chadema Ya Dr. Slaa sio hii ya mashinji .

Chadema sasa imekosa dira....chadema iliyokuwa inapigania ufisadi sasa inatetea ufisadi
.

Chadema ya sasa haiminiki tena ..

Chadema iliyozoea kupata kiki za kisiasa kwa kukosoa serikari , sasa bado inatumia mbinu za zamani., mbinu iliyopitwa na wakati ..

Kwa muono wa mbali na utafiti sioni chadema ikitusua uchaguzi 2020.

Namshauri kamanda wa gia za angani ,ajitathimini alipokosea,kabla chadema haijapotea kabisa.,

MIMI KURA YANGU ITABAKI CHADEMA / UKAWA DAIMA HADI SIKU YA KUINGIA KABURINI.
 
ni ujumbe mzuri hasa hapo mwishoni japo umeandika kiushabiki zaidi.

ni kweli upinzani inabidi ubadili aina ya siasa kutokana na serikali iliyopo tena mbaya zaidi inataka ibane uhuru wa habari kitu ambacho ni pigo kubwa sana wa ukuaji wa upinzani nchini. mfano bunge kutorushwa live na tv zingine nje ya tbc.hili ni pigo kubwa kwa upinzani
cha msingi siasa za upinzani zibadilike
 
Kwa kasi hii ya John Pombe Magufuli...sioni chadema ikitusua uchaguzi ujao
.

Chadema Ya Dr. Slaa sio hii ya mashinji .

Chadema sasa imekosa dira....chadema iliyokuwa inapigania ufisadi sasa inatetea ufisadi
.

Chadema ya sasa haiminiki tena ..

Chadema iliyozoea kupata kiki za kisiasa kwa kukosoa serikari , sasa bado inatumia mbinu za zamani., mbinu iliyopitwa na wakati ..

Kwa muono wa mbali na utafiti sioni chadema ikitusua uchaguzi 2020.

Namshauri kamanda wa gia za angani ,ajitathimini alipokosea,kabla chadema haijapotea kabisa.,
How mkuu, mbona kuna issues nyingi tu mkuu
 
Chadema naona kwa wabunge na nafas nyingine za kupigiwa kura wataongeza idadi ila kwa rais magu tu. Magu anakubalika ila watendaji wake bado tunawaona ni vibaka tu tena hii ya kutoonyesha bunge tutaenda kwa hasira zote kuwatoa wabunge wa ccm na wanachojifichia huko

MIMI BADO NI UPANDE WA UPINZANI DAIMA; KAMWE SIBADILIKI....
 
Kama tumbo linahala usijilazimishe kujamba naana uinajua kitakachotokea. Haya hakikisha kufika 2020 unatuuwa wote ukawa pia usisahau kuuwa jembe la majembe alie safi mbele za mungu, a man of the people supper man aliyepamba bunge kuwa na watu wenye akili timamu (wabunge wa ukawa) kuliko wale wachumia tumbo! Si mwingine ni tegemeo na chaguo la wengi mh mtukufu lowasa. Kama wewe ni mungu hakikisha mwaka huo hatupo duniani.

Karibuni mtoe povu na mkiona haitoshi badala ya povu toweni udongo
 
Mwaka jana mlisema mbunge wa kwanza kutorejea bungeni atakuwa Sugu. Cha kushangaza huyo Sugu kapata kura ambazo hazikufikiwa na mbunge yeyote yule katika uchaguzi wa 2015. Yaani CCM wanachoweza ni kutembea na fisi tu bhaaaasi.
 
Wewe utakuwepo huo uchaguzi 2020 ya Mungu mengi ni muda ndio utaamua ,ata huu wa juzi mliweweseka sana, maana mpaka mliagiza magari 700 ya maji ya kuwasha mara mita 200 haziruhusiwi ,haya ona sasa mara hakuna kurusha matangazo ya moja kwa moja toka bungeni mnaogopa nini kuna kitu hakipo sawa mjitafakari upya sio kila jambo mkiambiwa mnaona liko sawa nchi haiendeshwi kwa mtindo huo.
 
Mwaka jana mlisema mbunge wa kwanza kutorejea bungeni atakuwa Sugu. Cha kushangaza huyo Sugu kapata kura ambazo hazikufikiwa na mbunge yeyote yule katika uchaguzi wa 2015. Yaani CCM wanachoweza ni kutembea na fisi tu bhaaaasi.
Mkuu wasamehe bure Wamebaki kuwa wapiga ramli tu, wanatia huruma
 
K
Kwa kasi hii ya John Pombe Magufuli...sioni chadema ikitusua uchaguzi ujao
.

Chadema Ya Dr. Slaa sio hii ya mashinji .

Chadema sasa imekosa dira....chadema iliyokuwa inapigania ufisadi sasa inatetea ufisadi
.

Chadema ya sasa haiminiki tena ..

Chadema iliyozoea kupata kiki za kisiasa kwa kukosoa serikari , sasa bado inatumia mbinu za zamani., mbinu iliyopitwa na wakati ..

Kwa muono wa mbali na utafiti sioni chadema ikitusua uchaguzi 2020.

Namshauri kamanda wa gia za angani ,ajitathimini alipokosea,kabla chadema haijapotea kabisa.,
Kwa wabunge hawa wanaojifungia sahau tutawakumu tu kwa kutunyima kuona bunge.
 
Kwa kasi hii ya John Pombe Magufuli...sioni chadema ikitusua uchaguzi ujao
.

Chadema Ya Dr. Slaa sio hii ya mashinji .

Chadema sasa imekosa dira....chadema iliyokuwa inapigania ufisadi sasa inatetea ufisadi
.

Chadema ya sasa haiminiki tena ..

Chadema iliyozoea kupata kiki za kisiasa kwa kukosoa serikari , sasa bado inatumia mbinu za zamani., mbinu iliyopitwa na wakati ..

Kwa muono wa mbali na utafiti sioni chadema ikitusua uchaguzi 2020.

Namshauri kamanda wa gia za angani ,ajitathimini alipokosea,kabla chadema haijapotea kabisa.,

mme wako tyson alisema cdm itakufa 2013 lakini kilichotokea hatujui yuko wapi! kwahiyo najua upo kuwafurahisha mabwana zako ili wakupake mafuta huko nyuma&
 
Kiswahili kinashida sana watu hawajui kuandika kabisa
Watu wengine vp...??kwan humu class...?? au hujaelewa jamaa alicho andika hapo juu......?? Mnakosoa sana changia hoja

Kama huna cha kuchangia kaa kimya kama wengine sisi...
 
Back
Top Bottom