2020 CHADEMA itapoteza 90% ya wabunge

2020 CHADEMA itapoteza 90% ya wabunge

Uhuru wa habari unatusaidia nini kwani uhuru wa habari unachimba visima vya maji mbona rwanda na islael hakuna uhuru wa habari lkn mambo yanasonga.
Maajabu!Una uhakika na unayoyasema? Unazijua vizuri za nchi hizo? Ukiwa bwege utaandika tu.
 
Magufuri ni mwanaccm wa ukweli unarudisha heshima chamani kwa speed ya ajabu, ushauri wangu chadema wajipange vinginevyo mwisho wao haupo mbali.
 
Namshauri kamanda wa gia za angani ,ajitathimini alipokosea,kabla chadema haijapotea kabisa.,
Kana nIKweli mbona huonyeshi furaha unamkumbuka mzee wa Bunda alisema CDM itakufa kabla ya dec.2014 kumbe alikuwa analiaga Bunge pamoja na siasa kwa sasa hatujui alipo weee angalia unajitia LAANA CDM ni mpango wa MUNGU
 
Mnaogopa kuonyesha bunge live kwa sababu ya hofu kua ccm itapoteza wabunge wengi zaidi.
Ufisadi woote ulioletwa na ccm kwa mujibu wa report ya CAG, unahisi raia ni wajinga nini kupigia kura wabunge wa ccm?
Mimi nadhani uchaguzi uliopita hamkujifunza chochote eeeh!
Ndoto hizo hizo za kuwa CDM itakufa kabla ya 2013 ndio zinawarudia tena eeh!
Nyinyi isubirini hiyo 2020 ndio mtachoka wenyewe.
Kuna msemo huu, "Kutenda kosa sio ila kosa ni kurudia kosa."
 
Kwa kasi hii ya John Pombe Magufuli...sioni chadema ikitusua uchaguzi ujao
.

Chadema Ya Dr. Slaa sio hii ya mashinji .

Chadema sasa imekosa dira....chadema iliyokuwa inapigania ufisadi sasa inatetea ufisadi
.

Chadema ya sasa haiminiki tena ..

Chadema iliyozoea kupata kiki za kisiasa kwa kukosoa serikari , sasa bado inatumia mbinu za zamani., mbinu iliyopitwa na wakati ..

Kwa muono wa mbali na utafiti sioni chadema ikitusua uchaguzi 2020.

Namshauri kamanda wa gia za angani ,ajitathimini alipokosea,kabla chadema haijapotea kabisa.,

Mkuu, CCM ina serikali na wabunge kibao. Wewe sisitiza wapige kazi tu, haya mambo ya kushinda kwenye mitandao kuhangaika na propaganda dhidi ya vyama vingine ndiyo maana mnaitwa majina ya ovyo.
 
Chadema naona kwa wabunge na nafas nyingine za kupigiwa kura wataongeza idadi ila kwa rais magu tu. Magu anakubalika ila watendaji wake bado tunawaona ni vibaka tu tena hii ya kutoonyesha bunge tutaenda kwa hasira zote kuwatoa wabunge wa ccm na wanachojifichia huko

Tofauti ya zamani na sasa ni JPM, yaani Rais tu. CCM na mfumo wake uliooza viko vile vile.
 
Chadema kama sio ukawa walishapotea
Ila pamoja na muungano wao bado wanatafutana kwa tochi
 
Ina maana bunge halionyeshwi kwa sababu ya kuizuia Chadema isishinde 2020? Huu utakuwa ni mkakati kwa kishetani kabisa. Nchi yenye watu mil 50, ambao wanachama vya vyama hawafiki mil 10 inazuia wenye nchi kufuatilia mambo yanavyoendeshwa na wawakilishi wao?

Mm nikadhani kuna sababu nyingine ila kama ni hii, basi wahusika wametukosea sana
 
Sasa hivi mafisadi wakitumbuliwa majipu utashangaa CHADEMA wanakuja juu wanalalamika. Nashindwa kuwaelewa kabisa hawa CHADEMA. wengine wamefikia mpaka hatua za kutoa kauli za kukatisha tamaa vita dhidi ya mafisadi inayofanywa na JPM. Wanakesha wanaomba usiku na mchana Magufuli ashindwe katika vita hii ya kutumbua majipu. Shame on you CHADOMO
 
Akijenga viwanda nchi nzima ccm hatutapata shida kabisa
 
Kwa kasi hii ya John Pombe Magufuli...sioni chadema ikitusua uchaguzi ujao
.

Chadema Ya Dr. Slaa sio hii ya mashinji .

Chadema sasa imekosa dira....chadema iliyokuwa inapigania ufisadi sasa inatetea ufisadi
.

Chadema ya sasa haiminiki tena ..

Chadema iliyozoea kupata kiki za kisiasa kwa kukosoa serikari , sasa bado inatumia mbinu za zamani., mbinu iliyopitwa na wakati ..

Kwa muono wa mbali na utafiti sioni chadema ikitusua uchaguzi 2020.

Namshauri kamanda wa gia za angani ,ajitathimini alipokosea,kabla chadema haijapotea kabisa.,
Unajidanganya
9489a89d6632963b59381dea7c1bdce4.jpg
 
Mkuu, kwa Upinzani ni CHADEMA tu ? Kwa nini sio CUF. TLP, ACT n.k. Hata hivyo, kumbuka kuwa Mhe. Magufuli sio Mbunge bali yako kwenye muhimili mwingine, kwa hiyo anaweza kuwa anafanya vizuri Serikalini, lakini Bungeni wako ovyo hasa hili kuendelea kutetea maslahi ya chama badala ya maslahi ya taifa. Hebu sasa niambie ni kwa nini hata baada ya vyombo vya habari binafsi kujitolea kuonyesha vikao vya Bunge, bado vimekataliwa, kuna nini kinafichwa nyuma ya pazia ?
 
Jamaa mwenyewe jipu kaogopa kutumbuliwa live
 
Hali itakuwa mbaya sana kama wataendeleza siasa uchwara
 
Back
Top Bottom