2020 CHADEMA itapoteza 90% ya wabunge

2020 CHADEMA itapoteza 90% ya wabunge

Mimi nafikiri 2020 JPM atapita ila wabunge wengi wa CCM sijuwi kama watapita maana wengi wao ni mizigo tu.Mgogoro utaanza ndani ya chama.
 
Uhuru wa habari unatusaidia nini kwani uhuru wa habari unachimba visima vya maji mbona rwanda na islael hakuna uhuru wa habari lkn mambo yanasonga.
Kwa hiyo jirani akila kinyesi na wewe utakula? Akili nyingine ni kwa ajili ya kuvukia barabara tu!
 
Chama kongwe kina Shaka H Shaka wengi sana
 
Unavuta bange wewe.. CDM lazima iongeze wabunge ila Magufuli atapata kura za kishindo akimwacha mbali mamvi
 
Graph ya chadema haijawahi kushuka katika miaka 20 iliyoita,ya ccm ndo inashuka pamoja na kufoji
 
Kwahiyo mkuu mbunge akionekana mafuriko yanakata na hayatatokea tena ? Duuh, watanzania bado tuna safari ndefu sana. Aya bhana
Ni kwel hapa moshi vijijini mafuriko yametokea mbunge aonekani sijui itakuaje..
 
Kwa kasi hii ya John Pombe Magufuli...sioni chadema ikitusua uchaguzi ujao
.

Chadema Ya Dr. Slaa sio hii ya mashinji .

Chadema sasa imekosa dira....chadema iliyokuwa inapigania ufisadi sasa inatetea ufisadi
.

Chadema ya sasa haiminiki tena ..

Chadema iliyozoea kupata kiki za kisiasa kwa kukosoa serikari , sasa bado inatumia mbinu za zamani., mbinu iliyopitwa na wakati ..

Kwa muono wa mbali na utafiti sioni chadema ikitusua uchaguzi 2020.

Namshauri kamanda wa gia za angani ,ajitathimini alipokosea,kabla chadema haijapotea kabisa.,
Umekosea itapoteza kabisa 100%
 
Mmh, hata wewe mkuu? Halafu hii "Islael" iko bara gani vile?
Uhuru wa habari unatusaidia nini kwani uhuru wa habari unachimba visima vya maji mbona rwanda na islael hakuna uhuru wa habari lkn mambo yanasonga.
 
Kwa kasi hii ya John Pombe Magufuli...sioni chadema ikitusua uchaguzi ujao
.

Chadema Ya Dr. Slaa sio hii ya mashinji .

Chadema sasa imekosa dira....chadema iliyokuwa inapigania ufisadi sasa inatetea ufisadi
.

Chadema ya sasa haiminiki tena ..

Chadema iliyozoea kupata kiki za kisiasa kwa kukosoa serikari , sasa bado inatumia mbinu za zamani., mbinu iliyopitwa na wakati ..

Kwa muono wa mbali na utafiti sioni chadema ikitusua uchaguzi 2020.

Namshauri kamanda wa gia za angani ,ajitathimini alipokosea,kabla chadema haijapotea kabisa.,
Ccm inatisha aisee na kama vingozi wenyewe ndio hawa basi ccm haikamatiki na cdm itapoteza 100%
1461873759780.jpg
 
Mwenzako alitabiri kwamba kufikia 2015 CDM itakuwa imekufa!

Matokeo yake yeye mwenyewe ndiye akafa kisiasa na kaburi lake kufukiwa na Bulaya!
 
Hahahahaha mulisema uchaguzi huu itakuwa kimekufa ndio wamechukuwa halmashauri zote za mijini ikiwemo ikulu
Na aliye yasema sasa hivi yupo hoi bin taaban laana ya kuibeza cdm ina endelea kumtesa na sasa anachunga mbuzi kijijini kwao
1461874080885.jpg
 
Back
Top Bottom