2019 Long Jump Champion Malaika Mihambo

tempid

JF-Expert Member
Sep 22, 2018
1,053
1,657
Huyu msichana ni Mjerumani mwenye asili ya Tanzania. Baba yake Mtanzania wa Zanzibar mama yake Mjerumani. Leo ameshinda taji la long jump.

Nilivyoona jina tu nikajua huyu wa nyumbani. Duo citizenship tunaihitaji ili kuwa na vipaji kama hivi,yaani waende waendako wawakilishe nyumbani
 
Picha tafadhali.
images (14).jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom