Hi ya Mbunge mwanamuziki nadhani
Hi ya Mbunge mwanamuziki nadhani
Bila kusahau majumba yote ya wakazi wa kimara hadi kiluvya.. [emoji137][emoji137][emoji137]Anayekumbuka lile jumba la Profesa J anyoshe mikono juu
Avatar yako nimeiona nikaifungua fasta nikidhani ni k wa pale katikati kwa kina mwajuma nipe.Bila kusahau majumba yote ya wakazi wa kimara hadi kiluvya.. [emoji137][emoji137][emoji137]
Tukutane 2020
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Avatar yako nimeiona nikaifungua fasta nikidhani ni k wa pale katikati kwa kina mwajuma nipe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongezea na hii2019 bomoabomoa imekuwa ghafla bin fuuuuu hakuna tena bomoabomoa.
Watanzania wenzangu hapo vipi? KUMBUKA TUNAKWENDA KATIKA UCHAGUZI MKUU
NINI MAONI YAKO
Tunasoma alama za nyakati2019 bomoabomoa imekuwa ghafla bin fuuuuu hakuna tena bomoabomoa.
Watanzania wenzangu hapo vipi? KUMBUKA TUNAKWENDA KATIKA UCHAGUZI MKUU
NINI MAONI YAKO
Marufuku kuviondoa vijiji vilivyopo ndani ya hifadhi(jpm)Anayekumbuka lile jumba la Profesa J anyoshe mikono juu
kweli
sawa sawa
Analo Waziri wa Ardhi mh.LukuviTANGAZO LIKO WAPI KUWA AMEKATAZA BOMOA BOMOA. Kwa hiyo waliokosewa haki zao nchi nzima watampa kura kwa vile amekataza bomoa bomoa, watakuwa wepesi wa kusahau hivyo