Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 21,104
- 47,084
Bashite mbona simuoni uwanjani ? Au yupo hotelini anamuuguza Manula?
Bashite mbona simuoni uwanjani ? Au yupo hotelini anamuuguza Manula?
Mzee Mwinyi alibatilisha usemi akasema Wendawazimu wengine hawaruhusu vichwa vyao kuwa majaribio
Sie ni Gunia la mashineni kila mtu anajikung’utia tu, awe na kiroba cha mahindi asiwe nacho , akijisikia tu anakunguta ule mgunia
dahKweli? sio 3😃Algeria 3
CCM STARS 0
Half time
Mwenye link tafadhali
Bado 4Halftime: Tanzania 0_Algeria 3
Bila wao tushapigwa tatu. Wakiingia je? Yaani leo tunashindwa na team B.Tanzania tunaweza umbea tu.Natamani wacheze hao jamaa
Wajiokote hao taifa staa
Dua zetu Mungu anazidi kuzijibu
Naona Algeria wako kwenye range kama sniper vile hawakosi.Watagawana magori timu nzima.watanzania sio wachoyoLabda tushinde njaa



Hahahahaha. AFCON 2019 inanipa raha.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mchokozi sana weye!!!!
Atakuwa huyu?Kesho lazima msikie fulani ametumbuliwa ili ku-divert hii mechi ya leo.