mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,117
Mfungaji bora wa mashindano atapatikana leo(from Algeria team).
Tumegongwa tena LA 2
Tumegongwa tena LA 2
Hao wanapumnzishwa leo kwa ajili ya mechi muhimu ijayo.Kipindi cha pili weka BAGHDAD na MAHREZ hahahahahahahahah
hahahaaALGERIA MUNGU AWABARIKI SANA BADO NAHITAJI GOLI NYINGINE
Waache wapigwe hakuna namna.wakiweza wamchezeshe na Pierre liquid wawe 12Leo ni zamu ya BASHITE kipigo cha mbwa koko
Kiarabu = KHAMSA
HTsisi 2-0 Bashite
2-0 Algeria