Chief Sam
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 2,577
- 4,864
Ishakuwa dhahama zitafika sita hao jamaa nawafaham.ndo kisa cha kuto angalia game iyo.mara ya mwisho walitupiga 7-0Tumegongwa tena LA 2
Ishakuwa dhahama zitafika sita hao jamaa nawafaham.ndo kisa cha kuto angalia game iyo.mara ya mwisho walitupiga 7-0Tumegongwa tena LA 2
Sio ya watanzania.
Kaa na mimi nikupe live updates za gemu hii,kila tukio.
Mungu Ibariki Tanzania,Mungu Ibariki Taifa Stars
Mna vikapu vya kubebea magoli watanzania wenzangu?tunapigwa la pili hapa.

habari ndiyo hiyo!
Ya akina nani Kumbe ?Sio ya watanzania.
Kiarabu = KHAMSATunapigwa tano
Ishakuwa dhahama zitafika sita hao jamaa nawafaham.ndo kisa cha kuto angalia game iyo.mara ya mwisho walitupiga 7-0
Atakuw amenisaidia sanaRekebisha kichwa cha habari hiyo ni ccm stars na siyo Taifa Stars.
Inatekelezwa ki ufasaha kabisa.Ngoja tuone kama ilani ya chama Leo itatekelezwa vizuri
Ya akina nani Kumbe ?
Pepo tokaaaaa......🇩🇿🇩🇿🇩🇿🇩🇿🇩🇿🇩🇿Kaa na mimi nikupe live updates za gemu hii,kila tukio.
Mungu Ibariki Tanzania,Mungu Ibariki Taifa Stars