2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚mchokozi sana weye!!!!

Bashite mbona simuoni uwanjani ? Au yupo hotelini anamuuguza Manula?
 
Mzee Mwinyi alibatilisha usemi akasema Wendawazimu wengine hawaruhusu vichwa vyao kuwa majaribio

Sie ni Gunia la mashineni kila mtu anajikungโ€™utia tu, awe na kiroba cha mahindi asiwe nacho , akijisikia tu anakunguta ule mgunia
 
Back
Top Bottom