Chief Sam
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 2,577
- 4,864
Tutawashkuru mana mana ni ndugu zetu wa damuMpaka sasa Uganda wanaongoza kundi A.Uganda mkatupigie Egypt and Zimbabwe.


tulazimishe tu unduguTutawashkuru mana mana ni ndugu zetu wa damuMpaka sasa Uganda wanaongoza kundi A.Uganda mkatupigie Egypt and Zimbabwe.


tulazimishe tu unduguHahahaSiasa ya bomba la mafuta ndio imetupeleka AFCON
Dakika 88 Uganda anaongoza mbili bila.Kashampiga kongo ngapi?
Hawa wachezaji hawana uzalendo kama wanapokuwa wanajinadi...na kwa mashikizo haya wakifungwa watabaki kusingizia....poshoNaungana na wewe, uwezo hatuna. Na kesho tunachakazwa chipigo chikali munooView attachment 1134754
Mungu hawezi kuacha kazi zake awe na nyie Taifa Stars.




Mimi nilijua toka mwanzoBado najiuliza Uganda tuliwafungaje hapa nyumbani?
Nagundua kumbe ujirani mwema unasaidia sana.
Well done the cranes, mmestahili kushinda!
Hawa wachezaji hawana uzalendo kama wanapokuwa wanajinadi...na kwa mashikizo haya wakifungwa watabaki kusingizia....posho
Miya anacheza Gorica huko CroatiaHuyu Miya ni balaa kabisa.Anachezea team gani ya kulipwa.Kaddu nae lille goal la kichwa ni hatari.Uganda wanaupiga mwingi jamani.Half time sasa Majirani tunaoshare nao lake Nyanza wanaongoza kwa bao moja.
Kabisa yaani. Imagine leo Onyago alivyokuwa anaokoa. Anadaka yale mashoot. Leo atalala hoi ndo umlipe dola 75?.Nawaonea huruma taifa stars. Ile michango lazima ikatwe ipelekwe kwenye standard gauge.Wenzetu awachanganyi mpira na politics.
Watu wanakusanya pesa wakazipige na malaya huko MisriTZ wanakuambia changia Taifa stars ishinde. Pesa tunachanga lakini mpira tuuangalia kwa channel za Kenya. Uganda. Dubai na South Africa. Si Bora tuchangie harambe stars au bafana bafana.