2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Kama taifa tunashindwa kuwalipa wachezaji dola 300 tu? 75 ni ndogo sana ukichukulia pia pale wapo kazini.

Mtu kama Samatta hiyo dola 300 tu ni kama anajitolea.
Acha masihara mkuu.

Kupewa zaidi ya 600 huku unalipiwa kila kitu?? Binafsi sioni kama ni sawa.
Mpira ni kiwango na ufundi mwingi kwanza hamasa ni kikolezo tu.
 
Joto limeanza kuwaathiri wachezaji. Mchezaji wa Nigeria Kalu amekimbizwa hospital kutokana na dehydration.
 
Waheshiniwa tusogee kwa TV kuna deby Uganda na DR Cong😵kwi na Juuko ndani ya starting 11.Natabiri Uganda 2 Congo DR 0
Tupeane link tafadhali wengine 2po mbali na Tv
 
Kama taifa tunashindwa kuwalipa wachezaji dola 300 tu? 75 ni ndogo sana ukichukulia pia pale wapo kazini.
Mtu kama Samatta hiyo dola 300 tu ni kama anajitolea.
hivi hiyo $ 300 ni kwa siku? Au ni kwa kipindi chote watakachokua huko kwenye mashimdano
 
Okwinho
IMG_20190622_184236.jpeg
 
Uganda ile tuliifunga hapa ilkuwa likizo.
Hii ya leo tofauti.
 
Back
Top Bottom