2019 Africa Cup of Nations Special Thread

TZ wanakuambia changia Taifa stars ishinde. Pesa tunachanga lakini mpira tuuangalia kwa channel za Kenya. Uganda. Dubai na South Africa. Si Bora tuchangie harambe stars au bafana bafana.
Subiri kwanza....
 
TZ wanakuambia changia Taifa stars ishinde. Pesa tunachanga lakini mpira tuuangalia kwa channel za Kenya. Uganda. Dubai na South Africa. Si Bora tuchangie harambe stars au bafana bafana.
good brain
 
azam tv ni makenge kwa tulonunua dish zao nje na tanzania hicho ki utv hakioneshi sijui wanadhani kila mtu anapenda hayo movie yao wanayotafsiri kwa kiswahili??
shwain
Hiyo habari ya movie zilizotafsiriwa usije ukaiongea mbele ya wanawake wa kiswahili. Ukiwanyima hizo asubihi kama hii ukiomba mzigo utaambiwa....kichwa au tumbo linaniuma
 
Back
Top Bottom