MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,362
- 8,024
habari wadau..
kwa hali ilivyokuwa mwaka 2016 inaaonesha mwaka 2017 ndio tutaona matokeo mazuri ya mabadiliko..
naona makampuni ya simu yatapunguza sana wafanyakazi.. tigo yupo kwenye mchakato, zantel nae, hallotel, voda na airtel nao watafata soon..
naona banks nazo zikifunga baadhi ya branches na watu kukosa kazi...
branch mpya zitakuwa chache sana hasa sehem potential tu.. so ajira mpya zitakuwa chache sana..
sitegemei kuona hotel zikijengwa kwa spidi.. zaidi ya hotel kuzidi kufungwa.. so ajira za hotel zitapotea sana..
fast jet, precision nao watasitisha sana ajira kwa spidi hii ya atcl. ajira za anga kushney nazo.
hapo bado viwanda vya bia, juice navyo lazima vitingishike...
haya ni mawazo yangu tu
bila kusahau serikalini utumbuaji na kufukuzana kazi kutaongezeka spidi sana.. maana kila bosi anatafuta mtu wa kumtimua nowdays. .
serikali itafukuza sana wafanyakazi wake kwa makosa madogo madogo ili iwapunguze idadi kubaki na wachache zaidi...
naliona neno kama hutaki acha kazi litatumika sana kila ofisi nchini kuanzia private hadi goverment sectors..