2016 US Elections - Exlusive discussion thread

2016 US Elections - Exlusive discussion thread

I'm not opposing that Hillary meant to compliment him, what I'm saying is there is a difference between their answers and that Trump's answer seemed more genuine and came off better. Why are you making me defend such a deplorable person? 😉
Upo sahihi tuu hapo mkuu Donald alijibu vzri na direct way kuliko Hillary
Na wengi tuu wamesema hivo
 
Ukisoma ulichoandika hapa jibu lako lipo hapa kwenye ulichoandika lakini kama huwezi kuelewa ulichoandika basi hata hesabu zao za kuhitimisha kwamba Hillary kashinda huwezi kuelewa. Exceeding viewers expectations has nothing to do with winning the debate.

It has many things to do with CNN
Sasa wansema who did better tha your expectations 63% Trump na 39% Clinton ,yet Trump ana score 34 ina maana watu waki expect atapata 10,or 8%!!! Halafu wanakubali kuwa sample ili lean kwa democrats. Yaan sja waelewa hawa jamaa, Clinton News Network
Their maths didnt add up
 
NBC/WSJ new Poll.
H. Clinton 46%
D. Trump 35%
Johnson 7%

Other opinion Polls
NBC/WSJ
10/8-10/9 Trump (35 ) Hillary (46) Clinton +11

Rasmussen
10/5-10/9 Trump (38) Hillary ( 45) Clinton +7

Politico/Morning Consult
10/8-10/8 Trump (38) Hillary (42) Clinton +4

YouGov/Economist
10/7-10/8 Trump (38) Hillary (44 ) Clinton +6

Quinnipiac
10/5-10/6 Trump (40) Hillary (45) Clinton +5

Also,
Support among Republicans.
MCcain was (90%) Romney was (93%) and now Trump (72%)

Bi mkubwa oyeee! 😀😀😀
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ukisoma ulichoandika hapa jibu lako lipo hapa kwenye ulichoandika lakini kama huwezi kuelewa ulichoandika basi hata hesabu zao za kuhitimisha kwamba Hillary kashinda huwezi kuelewa. Exceeding viewers expectations has nothing to do with winning the debate.

Ukipiga hesabu maanake viewers wali expect Trump a perform less tha 10% haija wahi tokea debate yoyote hiyo, unajua what it takes mtu akapata less tha 10% kwenye one on one debate!!?,ndo maana nika kwambia hesabu zao haziji, tatizo hujaangalia namba umeangalia maneno hebu soma kwa makini, sample yao ilikuwa na shida
 
Dah! Kazi kweli kweli!

Mie naomba waendelee kuvurugana tu ili Democrats wachukue senate na congress ili kumrahisishia kazi the next POTUS.

Naona Trump kamfika Ryan kwenye koo...

Kama anamkacha mgombea it means he's not supporting his campaign too.
Lakini BAK, what's the meaning of this overall, is he giving up on his party nominee on the GE?!, na tena kasema anataka ku focus kwingine so they can at least retain the house, am afraid ameona mbali...
 
  • Thanks
Reactions: kui
Acha kujidhalilisha mbele ya kadamnasi, uelewa wako ni finyu ndiyo sababu huelewi kilichoandikwa ambacho kiko wazi kabisa.
Wewe huna uelewa wowote mkubwa wa kuniambia nna uelewa finyu, halaf weww mwenyewe usha jidharilisha sana tu mbona au hujioni!!?
 
Acha kujidhalilisha mbele ya kadamnasi, uelewa wako ni finyu ndiyo sababu huelewi kilichoandikwa ambacho kiko wazi kabisa.
Mkuu BAK achana na huyo,vitu vingine ni kichekesho tu,pale mtu anapojifanya yeye ni muelewa zaidi ya Chombo kikubwa cha Habari kinachotazamwa karibu Dunia nzima.Hapo juu kui kamwekea na sources nyingine za Polls mbali ya CNN lakini anajifanya haioni hiyo post,yuko busy kubishana na polls za CNN.
 
Shukrani Mkuu nimeshaachana naye kitambo kwa kumuweka kwenye ignore list yangu.

Mkuu BAK achana na huyo,vitu vingine ni kichekesho tu,pale mtu anapojifanya yeye ni muelewa zaidi ya Chombo kikubwa cha Habari kinachotazamwa karibu Dunia nzima.Hapo juu kui kamwekea na sources nyingine za Polls mbali ya CNN lakini anajifanya haioni hiyo post,yuko busy kubishana na polls za CNN.
 
Hata John Kerry alishinda debates zote lakini the Texas Cowboy akashinda urais
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Groper in Chief.

http://www.nytimes.com/2016/10/13/us/politics/donald-trump-women.html

Two Women Say Donald Trump Touched Them Inappropriately

By NATALIA V. OSIPOVA3:03
‘His Hands Were All Over Me’
Jessica Leeds, a businesswoman at a paper company, was sitting next to Donald J. Trump on a flight to New York in the early 1980s. She told The Times that he lifted the armrest and began to grope her.

By MEGAN TWOHEY and MICHAEL BARBARO
October 12, 2016
Donald J. Trump was emphatic in thesecond presidential debate: Yes, he had boasted about kissing women without permission and grabbing their genitals. But he had never actually done those things, he said.

“No,” he declared under questioning on Sunday evening, “I have not.”

At that moment, sitting at home in Manhattan, Jessica Leeds, 74, felt he was lying to her face. “I wanted to punch the screen,” she said in an interview in her apartment.

More than three decades ago, when she was a traveling businesswoman at a paper company, Ms. Leeds said, she sat beside Mr. Trump in the first-class cabin of a flight to New York. They had never met before.

About 45 minutes after takeoff, she recalled, Mr. Trump lifted the armrest and began to touch her...
 
Ila ile video ya kwenye basi aisee nkasema huyu jamaa serious anataka aiongoze hii nchi eti anasema ni locker room talk aisee nayule mtangazaji nae famba sasa alikuwa anamsapoti vipi trump ila ngojeni video zake zitakuja kuleack hapo mwishoni ilikujaa kuzidi kumpunguzia wapiga kura
 
Hata John Kerry alishinda debates zote lakini the Texas Cowboy akashinda urais
Yup...Kerry swept W.

Even Hillary won just about every debate against Obama but she didn't get the nod.

And oh by the way, did you hear what Sergei Lavrov had to say about both the GOP and the Dems?

It is classic. I'll post the video when I get a chance.
 
Ila ile video ya kwenye basi aisee nkasema huyu jamaa serious anataka aiongoze hii nchi eti anasema ni locker room talk aisee nayule mtangazaji nae famba sasa alikuwa anamsapoti vipi trump ila ngojeni video zake zitakuja kuleack hapo mwishoni ilikujaa kuzidi kumpunguzia wapiga kura

Huyu mtu ana matatizo na wanawake.
images-27.jpeg

Trump's body language during debate raises social media eyebrows.~nbc
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom