Anhaa nme angalizia Russia TodayMimi nafuatilia foxnews mkuu!
Haha, at some point Hillary kajisahau kamshangaa anavotanga mpaka kaonekana.
Halafu good to see you, ulipotea.
IMO they both did well on this question, but I wanted Trump to go furtther and mention Chelsea.
Swali la mwisho limetusaidia kujua ni nani mwenye IQ kubwa lol!!.......Unaweza kufikiri Trump alikuwa anajua kuwa ataulizwa hilo swali na akajipanga kumbe wapi!!!Anhaa nme angalizia Russia Today
Warus tunataka Trump ashinde
Asee leo kama sapota wa Trump naona kajitahidi si kama sku ile. Na mwishoni kamaliza vzuri lile swali
Hatimaye debate Kali kati mwanamama Hillary na Gwiji la Biashara Mr Trump umefanyika na kumalizika kwa AMANI.
Mdahalo huu maswali yalitoka kwa waliohudhuria.
Wenzetu wako serious na mambo ya msingi.
Mengi yameulizwa na kujibiwa na wagombea kwa mitazamo tofauti.
Mabishano hayakuwa makali kama mdahalo wa kwanza
Hapo ni pale aliposhutumiwa na moderator kuwa alisema obama care ni disaster!!Sijui Bubba anawaza nini hapo..?
IMO they both did well on this question, but I wanted Trump to go furtther and mention Chelsea.
That was a very good moveSwali la mwisho limetusaidia kujua ni nani mwenye IQ kubwa lol!!.......Unaweza kufikiri Trump alikuwa anajua kuwa ataulizwa hilo swali na akajipanga kumbe wapi!!!
Sijui Bubba anawaza nini hapo..?
Hahahaaaa! Kama kabanwa na mlango.
On the real though Chelsea Clinton really lost out on the looks department, which is weird, maana Bill is a handsome dude, Hillary was also a looker in her day, but I guess shit could be worse, she could be poor too.
Kuna video nimeiona ya usiku wa uchaguzi wa 94, asee Hillary alikuwa hadi ana churaa ya kutosha tuuHahahaaaa! Kama kabanwa na mlango.
On the real though Chelsea Clinton really lost out on the looks department, which is weird, maana Bill is a handsome dude, Hillary was also a looker in her day, but I guess shit could be worse, she could be poor too.
Mimi kwenye saa kumi na mbili kamili nataka niangalie taarifa ya habari kwenye channel tofauti kabisa kama vile france 24,DW au Aljezeera ili nione mtazamo wao!That was a very good move
Ngoja tusubiri tuone wananchi wata semaje.
Sasa nalala dakika 4 ili niamke saa 12, kamili
Huu mdahalo nimeufurahia.
Ulikuwa bora kuliko ule wa kwanza.
Na kwa maoni yangu, wagombea wote wawili wamefanya vizuri.
Anhaa poa bas baadaye ntarejea utupie madini hapa ulo yapata hukoMimi kwenye saa kumi na mbili kamili nataka niangalie taarifa ya habari kwenye channel tofauti kabisa kama vile france 24,DW au Aljezeera ili nione mtazamo wao!
Yeah..she's not as hot as Ivanka😀.
I'm actually surprised of how good an answer he gave, it made Hillary come off a petty for not saying something about Trump directly.