Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 10,027
- 5,862
Mama 75 na trump 66...race to 270Ushindi unaanza kunukia kwa Hillary, anaongoza pia Florida, North Carolina na Ohio.
Mama 75 na trump 66...race to 270Ushindi unaanza kunukia kwa Hillary, anaongoza pia Florida, North Carolina na Ohio.
Mama anaenda vizuri mkuu......ngoja tusubiri tuone....kwa upepo unavyovuma mama ataangukia pua vibaya mno Tanzania si sawa na US
Umeangalia viziriFlorida Trump is leading again kwa 50% Uchaguzi hatari huu
Walau kidogo...NC na FL zinaonekana nzuri upande wa Hillary, my heart is racing...lol
Ohio nayo.....NC na FL zinaonekana nzuri upande wa Hillary, my heart is racing...lol
Yanaendelea shangaza...Matokeo ya trump yatashangaza wengi
Ni aje unatetemeka? lol! uko kimya mno! 🙂🙂
Nataman iwe hivyo ...Akichukua Florida, Ohio na North Carolina mchezo umeisha, anaongoza kote huko.
50pec 3,3milFlorida kibao kimegeuka Hillary anaongoza sasa 48% kwa 47% za Trump
margin ni ndogo mno ngoja tusubiriMama anaenda vizuri mkuu......ngoja tusubiri tuone....
Clinton Rais mpwaHillary akichukua hizo basi Dunia yote inaanza kuchekelea kwamba huyu jamaa hataingia WH.