2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

Baadhi ya vituo vya kupigia kura North Carolina (Maeneo ya watu weusi) vimeruhusiwa kuendelea kuruhusu wapiga kura kwa saa nzima kutokana na computers glitches. Democrats waliomba viruhusiwe kuwa wazi kwa saa moja na nusu.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Hizi States mbili na Florida akishinda Hillary basi mchezo umekwisha. Ule usemi wa Love trump hates utakuwa umekamilika na hivyo kuweza kumblock huyu jamaa kutoingia WH.

Kwa East coast watch New Hampshire and North Carolina ukiona Clinton kashinda Trump itabidi akalale mapema
 
Florida kibao kimegeuka Hillary anaongoza sasa 48% kwa 47% za Trump
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Virginia Trump anaongoza 53.6% na Hillary 41.3%
 
Naona North Caroline,Georgia, Ohio, Virginia Trump anaongoza
 
  • Thanks
Reactions: MC7
North Calorina na Florida ni muhimu sana kwa mama......akishinda hizo atapumua kidogo.....naona anaongoza muda huu kwenye hizo states.... Naona na Ohio anaongoza muda huu.....ila jamaa ameshangaza kwakweli mpaka sasa....
 
Back
Top Bottom