2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

ASANTE SANA TEAM TRUMP KWA USHINDI Wa KISHINDO, WALITUDHARAU SANA LAKINI MUNGU ALIKUWA NASI, Hatimaye Mungu amejibu maombi yetu!

long live Donald!
 
Trump ni mfanyabiashara! Uliona wapi mfanyabiashara anafukuza wateja!!!
Na ili America iwe Great Again lazima ikubali kufanya biashara kwa faida kwa kupunguza running costs (vita visivyo na vichwa wala miguu mfano Afghanistan, Iraq,Libya, Syria n.k pia gharama za kuwa polisi wa dunia Korea kusini, japani, Nato)
Great again sio ktk hizo nyaja za kupunguza ghalama au vita. Ni kuziburuza nchi zozote kindaki ndaki ikiwamo Russia ambayo Obama aliiregezea.
 
Shida yule mama alijiamini sana atukatai kua over confidence hila kabla kura hazijapigwa alijua kashashinda na hii vyombo ving vya habari vilichagiza.lakin kwa jicho la ndani kabisa ile kashfa ya kuvujisha zile barua pepe wengi naamin walijua hayuko trusted.nimefurashwa they are more adnvanced hawa jamaa.
Mbaya zaidi na watu wake wakawa wanafuatilia habari za media kama CNN ambayo audience yake kubwa sio wapiga kura wa Marekani na wakaacha kufuatilia media kama Fox News ambayo ndiko hasa unaweza kupata true American perceptions!!
 
Wewe unaishi kwa child support Kama mange kimambi.... Sasa mtarudi huku tuje tunywe wote mataputapu, sio mnatembelea nyota za wanaume Huko ugaibuni. America has fuckin decided....woooooooooooohhhhhh!!!
Hahah wabongo bana! Mnaamini kila kitu tatizo. Endelea kusubiri nirudi huko umatumbini kwenye vumbi
 
Katika speech ya mjomba Trump muda huu amenitaja amesema "thank u so much my uncle supermarket"
**where is supermarket!!![emoji1]
 
USA_ELECTION_TRUMP_WON.PNG

TRUMP
 
Trump aje tu, ndo safi, angekuwa mwanamke ingekuwa noma,kwa ushindi wa Trump leo kitimoto na biaaaaa!
 
Trump kashinda 276 kwa 218 za mama. Game over mazee. Mkalale sasa. The new era has come to America. Team [HASHTAG]#MAGA[/HASHTAG] imetoka kidedea. Hata aje Jecha na timu yake yote ya kijani hawawezi kubadilisha huu mustakabali.
 
USHINDI WA TRUMP NI USHINDI WA CCM. UKAWA KAAENI MBALI MTAUMIA.
Ha ha ha naona milion 10 za wapiga dili na mafisadi zinakupa kiburi.
Hongera kwa kupokea rushwa ya milion 10
 
Ni shauku ya moyo wangu, kuwa natamani Raiss wetu mh. Magufuli awe nambari wani kumpongeza Trump kwa kuibuka mshindi katika mbio za kuwania urais Wa Marekani. Ushindi wa Trump si ushindi kwa wamarekani pekee Bali Dunia kwa ujmla. My rais wetu kuwa namba Moja kwa niaba ya Watanzania wote kumpongeza Trump
 
Sasa tb joshua sijui inakuwaje, aisee
Siku zote yule jamaa ni tapeli tunasema hapa kila siku, aliangalia upepo unapovumia wapi.
​


Nevada judge denies Trump request to separate early voting ballots

Washington (CNN)A Nevada court judge denied a request Tuesday from Donald Trump campaign lawyers to issue an order directing a county registrar of voters to preserve and separate ballots from voting machines in four early voting sites in Clark County, Nevada.

In legal briefs filed Monday night, Trump lawyers had asked for an order to have the pertinent early vote ballots not to be "co-mingled or interspersed" with other ballots after the campaign alleged the county registrar kept polling locations open beyond their designated hours.

Judge Gloria Sturman, of the District Court for Clark County Nevada, ruled from the bench, saying County Registrar of Voters Joe P. Gloria was already obligated by state law to maintain the records that the Trump campaign is seeking.
The judge at times expressed frustration with Brian Hardy, a lawyer for the Trump campaign.
"I am not ordering him (Gloria) to preserve anything," she said, adding, "This is Election Day. He has other things to be doing."

The Trump campaign had said Gloria kept polling locations open "two hours beyond the designated closing time." The lawsuit targeted polling places in the greater Las Vegas area that have larger minority voting precincts.
========================

UPDATE

Donald Trump ameshinda nafasi ya Urais kwa kuvuka idadi ya kura za wajumbe apata kura za wajumbe 276. Clinton 218.

Clinton ameshinda Virginia naye Trump akashinda Ohio, Florida, na North Carolina.

Kwa sasa Trump ana kura 244 za wajumbe na Clinton 209. Mshindi anahitaji kura 270 za wajumbe.

Lakini mgombea wa Republican Trump ameshinda majimbo mengi ya kusini mwa Marekani naye Clinton akashinda majimbo ya kaskazini mashariki mwa nchi hiyo, kwa mujibu wa makadirio ya shirika la utangazaji la ABC News.

Chama cha Republican kinaonekana kuwa njiani kushinda wingi wa wabunge katika Bunge la Wawakilishi.
 
Back
Top Bottom