Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,100
- 136,710
Asante Sn, Nimepanga Tarehe Ingawa Bibi Harus Bado Hajapatkana. Lakini Mungu Ni Mwema.
Kweli tunatofautiana....
2014 niliweka lengo la ku establish business...DONE
2015 niliweka lengo kujenga......95% DONE
2016 lengo langu ni kuoa........HII NI CHANGAMOTO KUBWA KULIKO ZOTE NILIZOPITIA!
Asante, ngoja nimalize mwaka kwa ulevi na mihangover ila mwakani mambo haya hayatojirudia.
Namshukuru Mungu kwa uhai na afya njema mwaka huu lengo lilikua ni kupata a dream job bado sijaipata Mungu mwema najua mwakani nitajaliwa na kufanya na mambo mengine