RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,795
- 129,627
Lengo kuu kwangu mwaka huu ulikuwa ni kuoa....nashukuru Mungu nmetimiza nmefunga ndoa..
next year,, nna malengo mkuu mawili.
1: Kuanzisha mradi/biashara kwa ajili ya familia yangu
2: kununua kiwanja na kuanza ujenzi mdogomdogo..
Kwake yeye kila jambo linawezekana....Mungu Mkuu
Kweli tunatofautiana....
2014 niliweka lengo la ku establish business...DONE
2015 niliweka lengo kujenga......95% DONE
2016 lengo langu ni kuoa........HII NI CHANGAMOTO KUBWA KULIKO ZOTE NILIZOPITIA!