Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,376
Aaah nikajua Niombe kwa "prayers". basi ngoja niandae barua ya ombi sasa hiviMmmmmh...
Paka uombee. Tena omba kiutu uzima.
Aaah nikajua Niombe kwa "prayers". basi ngoja niandae barua ya ombi sasa hiviMmmmmh...
Paka uombee. Tena omba kiutu uzima.
Hehehehe hatarious, ushaniharibia deal hapo kwa atoto. Me nilitaka iwe siri yetu ujue khaa
Mahusiano ndo yana mushkeli kwa wengi, ila hili ni tatizo la dunia
Aaaaashiiii asante kwa jinsi ulivyoflow umekonga moyo wangu, Mungu akubariki ndoto zako zitatimia!!!
Hii kali! kwa hiyo unasubiri tu kifo sasa! Tafsiri ya "mambo" na "malengo" inaelekea ni pana sana.Mimi asilimia kubwa ya mambo yangu nilishakamiishaga miaka ya nyuma... sina kipya...
Mimi namshukuru Mungu kwa NEEMA yake ambayo imenipa amani maana haya malengo ya kimwili yasipotimia unaweza kuwehuka bure. Sasa hivi naya-carry forward kiroho safi tu yakitimia nashukuru, yasipotimia nashukuru, nasonga mbele.
usiogope....Asante but I think naomba nipite tuu... Thanks...
digrii, kumaliza nyumba, usalama wa kifedha, mume, mtoto/watoto wengine n.kNdio yapi hayo?
Mwaka huu ulikaa kushoto
sikutegemea a lot...
naona mwakani nitamaliza unfinished business
hiyo ya ghafla mie si nitakuwa wifi nakuja kupika jamani?
usinitenge bhana
Mie namtukuza sana Mungu kwa mwaka huu. mipango yangu yote imeenda sawa.
kuna tofauti ndogo ndogo kwenye eneo lile linalo run dunia ila nazidi kumshukuru Mungu kwani kila kitu kinachotokea kwangu kina kusudi ndani ya maisha yangu.
Naona mwaka 2016 ukiwa na mafanikio makubwa kwangu.
Mungu awe mwema kwako my dada kipenzi...