Amen.. Mungu akutie nguvu in Jesus name Amen.. Thanks.
Amina mpendwa. Mungu akujalie nawe haja njema za moyo wako.
Amen.. Mungu akutie nguvu in Jesus name Amen.. Thanks.
karibu.....Eeheee makubwa..Thanks..
karibu.....
Mwaka umekuwa mwema saaana kwa upande wangu, Namshukuru mungu paka hapa, na namuomba mungu siku zilizo baki ziende vema.
Nashukuru mwaka umekuwa mwema kwa vile nimempata nmpendae pamoja na changamoto nyingi mnoo, Nmemaliza masomo salama...
2016 Mungu anibariki nitimize malengo.....
Honestly I have so many things to Thank my God , because if it wasn't The Lord who saved me through all those years I probably would be dead by now , but through His Mercies , Graces, Love, Compassion, and Care I'm here today loveissweet , I just want to say Thank you Ooh Lord and I love you so much Jesus.. Umeniponya na mengi Baba, umenipenda more than I could ever imagine .. Kiukweli sijawahi kuona the True love like your love Jesus, so Thank you Papa Jehovah.. Even though I'm still in this race but I'm not gonna quit because you are with me.. The annoint that You poured upon me is overwhelming and no body can't take it away except you Lord. I want to say that I love you Ooh Lord and I want more of you.. Just know that I will never stop loving you Jesus , even if all my needs won't be fulfil I still love you. I love you who you are Lord as my God and you are the only one I want .. So I Thank you for this year of 2015 and I do thank you in advance for the year of 2016 . Amen.. Thanks..
My kaka nilikuwa nataka nikusalimie tu teh, ile nimeghairi hadi February. Maana sasa hivi mtu akisalimiwa tu anahisi anapigwa kizinga cha sikukuuMahusiano ndo yana mushkeli kwa wengi, ila hili ni tatizo la dunia

My kaka nilikuwa nataka nikusalimie tu teh, ile nimeghairi hadi February. Maana sasa hivi mtu akisalimiwa tu anahisi anapigwa kizinga cha sikukuu![]()
![]()
Kwa hiyo ndo unajihami kijanja nisikuombe hela ya sikukuu eeh tehAhaaa haaaaaa.....
We ni mtumishi bwanaaa...haupigi vizinga...
Ahsante Mungu huu mwaka nimemaliza masomo yangu salama kwani kuna tuliokua nao na wakarudi nyumbani katika hii safari.Kwa upande wa mahusiano haukuwa mzuri at all but najua Mungu anamakusudi yake.2016 naomba Mungu anijaalie nipate kazi.Nikifanikiwa hilo nadhani mambo mengine pia yataninyookea kimaisha na kimahusiano namuachia Allah aniongoze coz najua yeye anajua na ni mbora kuliko vyote.Inshaallah
Kwa hiyo ndo unajihami kijanja nisikuombe hela ya sikukuu eeh teh
Hahahaha basi fanya tu kunipa kabla sijaomba, ndo inanoga. Nipo na kipilipili changu hapa kichwani so usijaliWewe ukiomba nakupa maana huna kawaida yako. Ila tuu usinunulie mawigh....
Hahahaha basi fanya tu kunipa kabla sijaomba, ndo inanoga. Nipo na kipilipili changu hapa kichwani so usijali