2015 Picha zilizotamba

Aisee moto wa kisiasa uliowaka 2015 utachukua centuries kurudi tena
 
lowasa alibamba kinafiki wafuasi wake wengi walikuwa wahini ambao hata kura hawapigi wakamtosa mzee wa watu mpaka kura hazikutosha pole zake
 
Kama ilishimdikana huo mwaka kufanya lolote, huko tuendako sidhani kama itawezekana, maana tulikuwa na kila sababu na uwezo ulikiwepo pia
 
Wapi picha ya wale jamaa wa ARUSHA wakipiga DEKI Barabarani?
 
Tusubiri tena miaka 50 mingine ndo CCM watapata pressure kama walioipata ile ya 2015
 
Kiukwel chadema inavutia japo namkubali magu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…