2015 nchi haina mgombea Urais, isipokuwa

yeriko nilikua nakuheshimu sana ila kuanzia leo hupati tena heshima yangu, yaani bado tu mpaka leo hujajua kuwa lowasa ndo raisi ajaye?
 
@ Yericko!

Mkuu unaonaje chapisho lako hili zuri ulipeleke kama makala kwenye magazeti, watu wengi wapate access?

Nijibu tafadhali....
 
Mbowe aachie uenyekiti kuondoa dhana ya uchagga kwenye chama~ Yericko Nyerere.
 
Kijana nyerere; mawazo yako yanafaa sana tatizo wamubwa hawataki kabisa kuyasikia. Usalama wetu wako kwa ajili ya kutafuta nano atapinga ccm. Ili atolewe uhai japo Mungu anawaumbua kabla ya mauaji.. Fikiria kusafirisha transfoma mbili toma dar had I shy eti tsh 200mil. Halafu mwigulu na lukuvi wanatetea. Tutafika?
 
Mganga njaa wewe umeniacha hoi; unaingalia Tanzania ipi ambayo sisi waungwana hatuioni?? Yaani umepoteza muda kwa kuandika utumbo mwingi tu ili umpigie debe Slaa kwa kama ungetumia mstari mmoja pangeharibika kitu gani?? Raisi JMT hachaguliwi JF naamini watanzania bado wana imani kubwa na chama makini CCM.

"Kama rais wa JMT hachaguliwi JF,povu lote linalokutoka ni la nini?Dr Slaa atawakondesha mwaka huu!"
 
Dr Slaa hauziki ni mufilisi wa hoja na hana rekodi nzuri ya kisiasa na kijamii.Wananchi hawana imani nae
 
Mkuu ulianzia hapa, haya ndio mafundisho na maagizo wa ALLAH wako, na wewe unayatekeleza kwa vitendo.....


Ukaja hapa....kuendeleza mafundisho ya ALLAH....



Mkuu ungekuja kwa ile ID yako inayosambaza chuki za kidini ningekujibu kwa ufasaha kabisa. Nyie ndio wale MTAKATIFU NYERERE aliwaita mmefilisika kumkichwa. Kwa sababu huna constructive idea hata moja. Kule kwenye uzi wa Mzee Mohamed Said umerundika mapost ya chuki za kidini karibu 100! Umekuja huku tena unaaanza kunibagua kwa kabila tena klisilo langu.

Wewe kila jambo unalitazama kwa ubaguzi, tena ubaguzi wa kikabila na kikanda. Nakuhakikishia hata hao wana CUF wenzio hawajafikia level yako. Wewe mbali na kufilisika kichwani unaonyesha jinsi ulivyo juha, mjinga, punguani, mshamba, mbumbumbu, limbukeni na mkurupukaji.

Tulia, mbona wenzako kina Ritz wanaipenda dini yao lakini wana STAHA? Hata huyo FF na yeye anaipenda dini yake lakini ana staha pia.

Kwani wewe unamwabudu Mtume gani tofauti na kina chama? Huyo mtume anayekufundisha na kukuagiza uwe unabagua watu tu kwa ukabila na udini ni tofauti na mtume wa akina chama, Ritz, FaizaFoxy na wengineo wastaarabu humu.

Hebu jitahidi uwe matured basi.

Mzito kwa upande wa nyuma.

Usijipendekeze kwa waislamu kwa kuleta Unafiki wako wa kusema huyu mbaya na huyu mzuri.

Ktk hao wote uliwataja hapo juu niambie ni nani ktk hao anaekubaliana na mtu km wewe?

Wewe kula viti moto mpaka kesho ni mimi ntabaki na biriani yangu ya mbuzi.
Na abadan kafiri na muislamu hawawezi kuwa marafiki.
Hata iweje!
Na huo ndio ukweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom