Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
- Thread starter
- #61
Hommie! Hahaha, sasa fyatanga inakuwaje? Au mkoloni tena leo?
Fairway hapa hommie.... Mkoloni manina zake leo. Kuna haka kabia kanaitwa Tusker Lite. Katamu mbaya, tukreti tuwili tutanihusu leo. Nikiona uzushi namiminiamo na vitots kadhaa vya Jack Daniels mpaka kieleweke!!