Na wewe utakuwa miongoni mwa ntakaowakagua Januari. Jiandae.....
dudupori yule siyo PAPA wa kimaukweli bhana ni sinema fulani hivi wali-act mfano wa ile ya 'SISTER ACT'. Nimesahau jina lake.
Na wewe utakuwa miongoni mwa ntakaowakagua Januari. Jiandae.....
aaa wapi mi nataka AAA wewe una aaa
huoni tofauti hapo????
aaa wapi mi nataka AAA wewe una aaa
huoni tofauti hapo????
wallah Tanga bora hukuja....nilivyokuwa nahitaji ukaguzi hakyamama......
he heeee, sasa kwa wakongwe unakagua nini mkwe? hakuna jipya, lol!Kweli mkwe. Sasa na wewe uache unoko. Kimefika kiindi wakongwe tukaguane wenyewe kwa wenyewe.
Kweli mkwe. Sasa na wewe uache unoko. Kimefika kiindi wakongwe tukaguane wenyewe kwa wenyewe.
he heeee, sasa kwa wakongwe unakagua nini mkwe? hakuna jipya, lol!
hommie nikisoma kati ya mistari nakuona ki vingineTaratibu dogo. Bado sijaachia mikoba. Katiba izingatiwe.
umeona eeehhh!huo sasa ubazazi
Taratibu dogo. Bado sijaachia mikoba. Katiba izingatiwe.